CCM wanapata wapi Funds? Chama hiki kinapata wapi fedha Wakati Wananchi ni maskini hivi?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Nimekuwa natafuta sources za funds za ccm sipati jibu. Hivi karibuni tumewaona Membe na makada wa ccm wakirusha maneno kwa cdm kuhusu funding, Je wao wanalipwa na nani? Wanapata wapi funds za kulipia kampeni zao? Wanapata wapi kujenga majumba na magari ya kifahari?

Tunaomba Mzee Mwanakijiji na Weak leak ya Watanzania humu JF tupate ripoti kamili kuhusu ccm na wealth wa viongozi wao Tanzania. Kama watanzania ni maskini kiasi hiki, ccm wanapata wapi fedha? Tunasikitishwa kwamba sio watanzania wanaofunga mikanda kujinyima na wengine wale na kuchukua sheria mikononi.

Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
030511_0705_somephotosf4.jpg

Ukweli ni kwamba ccm wanapata pesa kwenye mkoba hapa chini

Finance%20Minister%20Mustafa%20Mkulo_5.jpg
 
Unashangaa hako kajengo ka Mkoa Dodoma? Vp kuhusu Jengo la makao makuu ya UVCCM linalojengwa kwasasa kule DSM? Kufuru...!!!!
 
Wanapata fedha toka kwa watanzania wenye asili ya asia!huo ndio ukweli!na hao wenye asili ya asia ndio wanachukua karibu 80 % ya pato letu kupitia tenda mbali mbali za serikali na donors!
 
Nimekuwa natafuta sources za funds za ccm sipati jibu. Hivi karibuni tumewaona Membe na makada wa ccm wakirusha maneno kwa cdm kuhusu funding, Je wao wanalipwa na nani? Wanapata wapi funds za kulipia kampeni zao? Wanapata wapi kujenga majumba na magari ya kifahari?

Tunaomba Mzee Mwanakijiji na Weak leak ya Watanzania humu JF tupate ripoti kamili kuhusu ccm na wealth wa viongozi wao Tanzania. Kama watanzania ni maskini kiasi hiki, ccm wanapata wapi fedha? Tunasikitishwa kwamba sio watanzania wanaofunga mikanda kujinyima na wengine wale na kuchukua sheria mikononi.

Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
030511_0705_somephotosf4.jpg

Ukweli ni kwamba ccm wanapata pesa kwenye mkoba hapa chini

Finance%20Minister%20Mustafa%20Mkulo_5.jpg

Wanachota BoT, kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, wafanyabiashara wakwepa kodi hasa wenye asil ya asia kwa ahadi ya kulindana, zingine....duhh ni balaa
 
unaambiwa ni MAFISADI unauliza wanapata wapi pesa??
NDUGU HAO NI MAFISADI, WEZI!
 
Back
Top Bottom