Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,053
Wana ccm ni watu wa mipango mikubwa na ya kisanii eti leo wanajidai kumuenzi mwl Jk Nyerere kwa kuhifadhi mazingira!Jk Nyerere alipiga vita rushwa na ufisadi wa aina zote kama vile uliofanyika chini ya ccm yaani
1:EPA
2:ESCROW
3:MIKATABA MIBOVU YA MADINI
Hayo yote ni adui mkubwa wa maendeleo na mwl Jk Nyerere aliyapinga lkn kwa ccm ya sasa wanaona ndiyo fasheni!
1:EPA
2:ESCROW
3:MIKATABA MIBOVU YA MADINI
Hayo yote ni adui mkubwa wa maendeleo na mwl Jk Nyerere aliyapinga lkn kwa ccm ya sasa wanaona ndiyo fasheni!