Ccm wanamtumia mwanamuziki kutoka kenya kweny kampeni ...nec wanalijua hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm wanamtumia mwanamuziki kutoka kenya kweny kampeni ...nec wanalijua hili?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mamboleo, Oct 28, 2010.

 1. M

  Mamboleo Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  Katika siku za hivi karibuni,CCM Rorya wanamtumia Mwanamziki maarufu kutoka Kwenye kampeni zao za uchaguzi huko Rorya.ITV jana wamemwonyesha Mwanamuziki huyo Osogo Winyo akitumbuiza kwenye kampeni za CCM huko Buturi kabla mgombea wa CCM huko Rorya Lameck Airo hajahutubia.

  Jee hii imekaaje kisheria zetu za uchaguzi..inaruhusiwa?...Au tume ya taifa ya uchaguzi nayo haina taarifa?

  Tuelimishane
   
Loading...