CCM wanaichukia CHADEMA kuliko wanavyo mchukia Shetani

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Wana JF itoshe kuandika mistari michache iliyobeba ukweli wa mambo yalivyo huko nchini kwetu.
Ukifatilia kauli na matendo ya viongozi waandamizi wa serikali ya ccm na wale wa chama, utagundua kuwa ccm wanaichukia Chadema kuliko wanavyo mchukia Shetani.

Mfano mdogo ni tendo baya alilofanyiwa Lissu, kama kweli wangekuwa na utu ndani yao, wasingediriki kumnyima stahiki zake wala kufikiria kumvua ubunge kama anavyokusudia spika wa Bunge.

Kwa hali hii niseme tu ccm wanaichukia Chadema kuliko wanavyo mchukuia Shetani. Asilimia kubwa ya wana ccm wangetamani Lissu afe na Chadema ifutike kabisa isiwepo Tanzania.
Mungu wasamehe hawa wajumbe wa shetani
 
Back
Top Bottom