CCM wanahaha kwa kuwa wanajua CDM haifi; Inakua

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hawaoni dalili kama za lyatonga na nccr za chama kupotea maboya.

hawaoni dalili kama za cuf kwamba ipo siku watakirubuni na kufunga nacho ndoa haramu.

wanaona cdm kinakua tu.

kinazidi kupendwa na hakuna dalili ya kuyumba.

penyeapa ndo ccm wanapata taabu kwelikweli.
 
CCM is striving to be a success in elections, but rather not to be of value to the electorates.This trends is inherently deceitful!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom