CCM wanahaha kutafuta ushindi feki, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wanahaha kutafuta ushindi feki,

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kakungulume, Nov 1, 2010.

 1. Kakungulume

  Kakungulume JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 212
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli wazungu watatucheka,
  CCM hawa ni mashetani ya Tanzania, kwa sababu wanafanya kila hila kupata ushindi ilhali wakijua
  fika ahadi na sera zao hazitekelezeki.

  Sasa wanataka kupanga majimbo ya ushindi ili wakajipange kuichakachua nchi hii pendwa ya Tanzania.

  Ona sasa, majimbo yote ambayo CCM inaelekea kushinda NEC inayatangaza FASTA, lakini yale ambayo CHADEMA au CUF imeshinda kwa TZ bara hawatangazi kwa wakati. Ona Lindi, Pwani n.k yametangazwa tayari na Arusha mjini na Nyamagana Mwanza kimya hata sasa, KULIKONI.
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo mimi ndio ninaposhangaa kwani hii nchi ni ya kwao pekee yao???
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Watanzania tunajivunia amani, na amani hii ina kila dalili za kuvunjwa na hawa sisiem kutokana na roho yao ya king'ang'anizi cha madaraka japo wanafahamu kwamba kwasasa watanzania wanafahamu kwamba sisiem ndo chanzo cha umasikini tulinao na ndo chanzo cha utajiri wa mafisadi
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wakilalamika upinzani unahamasisha fujo lakini kumbe wao ndio number one
   
 5. M

  Manyema JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  watashindwa CCM na shetani atashindwa kwa jina la Yesu. Amen..!
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  hAWANA UJANJA WAMELIKOROGA WENYEWE ACHA WALINYWE KWA MDOMO WAO.SISI TUNAHESHIMU MATOKEO YA VITUONI NA SI VINGINEVYO TUME KAZI YAKE NI KUJUMLISHA TU NA KUTANGAZA.

  LAZIMA WAELEWE MGAWANYO WA MAJUKUMU( SEGREGATION OF DUTIES). TUME WAKIRUDIA KUHESABU WAJUE WAMEINGILIA KAZI YA CHOMBO KINGINE.
   
 7. V

  Vitus mkumbee Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima waelewe hilo lakini watafanya kila mbinu hawatafanikiwa wakae wakijua hilo
   
Loading...