CCM wanafuata siasa za ujamaa, CHADEMA wanafuata siasa gani?

Siasa za ujamaa ni wizi na ufisadi wa trillion wa kodi za Umma?! Kweli!
Unajua siasa za ujamaa maana yake wewe ?
Siasa za ujamaa alikufa nazo zilienda na Mwalimu Nyerere.
Haya MAJIZI yanayongozwa na LIJIZI la IKULU hawatakaa itokee wawe wajamaaa wanabaki kuwa wezi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom