CCM wanachokifanya sio UBEBERU? Kwanini watumie Jeshi, Serikali kuimalisha Chama na kuuwa upinzani? Kuna tofauti gani na makaburu/wakoloni

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Nawaza ivi hii CCM ya magufuli inatofauti gani na wanaoitwa mabeberu, au wakoloni tena makaburu?

Ivi ukaburu wa afrika kusini na ule ubaguzi wa rangi unayofauti gani na wa ccm kwa upinzani?

Ule ubaguzi wa rangi, barabara, waliofanyiwa afrika kusini unatofauti gani na ubaguzi wa kimaendeleo hasa majimbo ya upinzani?

Wanaitwa mawakala wa mabeberu ivi ni Kipi nchi hii ccm hawajakiuza ambacho ccm inasema mabeberu wanakitaka ikiwa upinzani watapewa nchi
 
Kanunue sumu ya panya unywe ulale kwa amani bila ya hivyo utapatwa na magonjwa yasiyotibika!
Nawaza ivi hii CCM ya magufuli inatofauti gani na wanaoitwa mabeberu, au wakoloni tena makaburu?

Ivi ukaburu wa afrika kusini na ule ubaguzi wa rangi unayofauti gani na wa ccm kwa upinzani?

Ule ubaguzi wa rangi, barabara, waliofanyiwa afrika kusini unatofauti gani na ubaguzi wa kimaendeleo hasa majimbo ya upinzani?

Wanaitwa mawakala wa mabeberu ivi ni Kipi nchi hii ccm hawajakiuza ambacho ccm inasema mabeberu wanakitaka ikiwa upinzani watapewa nchi
 
Ukimuacha mmeo usimpiepigie simu ni kuonesha umalaya

State agent

Back
Top Bottom