CCM wana Njama Za kuvuruga amani nchini kwa visingio vya vyama vya siasa

somijo

Senior Member
Apr 14, 2012
110
47
Inasikitisha sana kwa chama tawala kuendelea na mpango wao wa kuvuruga amani ya nchi hii hali watu bado tunataka aman ambayo ililetwa na wazawa na wazalendo wa taifa letu. Ivi hii kauli ya vijana, wanawake na wazeee wa ccm tena kwa maandamano kutangaza kuwa CDM inataka kuigawa kanda ya ziwa na kaskazini wameitoa wapi? na kwa kiongozi gan?(msemaji wa chama). bado tuna donda linalotuuma la ufisadi wa viongozi wa hicho chama, kana kwamba haitoshi wanamwaga sumu kwa wananchi kuwa chama chenye kuleta ukombozi CDM eti kinataka kuigawa nchi, huuu si uchochezi huuu!!!!!!!!!CCM mnatupeleka wapiii?????
 
Tumeshaona kila dalili za mfa maji. Wanasubiri maziko tu hao.
 
Ccm imepoteza dira na mwelekeo...wanaishi kwa kubashiri kivuli cha CHADEMA.

Tunaomba waiache nchi ikiwa na amani, mbona wao TANU na ASP walikikabidhi nchi ikiwa na amani?????
Wakishindwa wa step down peacefully
 
Mungu ndiye ajuaye dhamira ya cdm, na anajua lengo la kuwepo kwake tokea kuumbwa kwa misingi ya dunia hii. hivyo kauli za kuungaunga kwa gundi haitashamiri, na wachochezi na wapandikizi wa uongo watazibwa midomo yao kwa mshangao utakaowaacha hoi.
 
Back
Top Bottom