Uchaguzi 2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,444
3,353
CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
F4032767-CEBC-4727-ABC7-03C34BAD840C.jpeg



444FAC35-AB58-4B48-9C8E-5421E536C211.jpeg
 
Sahihi,

Nafasi inayoombwa sio ya Uongozi katika Chama , bali uongozi wa Vyombo vyenye mamlaka ya Dola.
 
Dola ina vyombo vitatu (Serikali, bunge na mahakama) isipokuwa kwa mahakama, vyombe vilivyobaki nafasi zake ni za kuchaguliwa. Rais wa Tz ni mkuu wa Serikali na kwa kuwa Serikali inaingia kwa kura hivyo kauli hiyo ni sawa
 
Back
Top Bottom