CCM wamtumia salamu Sugu 'kaa mkao wa kula'

Bashiru ana guts za kutamka hayo!? Anajiona mshindani kukimbia mbio ilihali wenzio wamefungwa vitambaa vyeusi usoni!? Njaa mbaya sana ,mtumikie kafiri upate ujira wako.
 
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza: hivi huyu Bashiru ni yule yule mhadhiri aliyekuwa na hoha zenye nguvu. Nini kimemkuta na kuanza kutoa hoja za matusi kwa watangulizi wake. Haya sasa, kijana wao ambaye hawakumfunza vema keshajipaka uharo huko hai.

Yote kwa yote, kwa habari ya ubunge wa Mbeya, ni vema akaweka akiba ya maneno. Mbeya ni habari nyingine!
Juzi tu hapa wamemzuia Sugu kufanya mkutano alafu anaongea huo ugora!!
 
Huyu anayetukana waliompa kijiti kuwa wapumbavu?! Walimwachia upumbavu kiasi gani?
 
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtumia salamu Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kuwa akae mkao wa kula katika Jimbo analoliongoza.

Dkt. Bashiru kuelekea uchaguzi Mkuu amesema hakuna uchawi, wizi, kupendelea huku akiwataka waache visingizio wachape kazi.

"Bwana Sugu kaa mkao wa kula nakuja kwako hakuna uchawi kuna kazi, hakuna sijui wizi sijui kupendelewa acheni visingizio," alisema Dkt, Bashiri akiwa Dodoma.

"Chapa kazi ya siasa mpate dawa yenyewe iingie mpone hiyo ndio CCM mpya lakini ni vizuri tukahamasisha Watanzania wengi kushiriki katika uchaguzi ikiwezekana wote wenye umri wa kupiga kura."
Kumbe huyu mhutu naye mpumbavu tu.
 
Mnafiki tu huyo bashiru
 
Back
Top Bottom