CCM wamtimua bilionea Mathias Manga wakimtuhumu kuwa zao la Lowassa

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
CCM, Arusha imewafuta uanachama makada wake 1520 wakiwemo vigogo kadhaa, miongoni wao yumo mfadhili wa chama hicho, Mathias Manga ambaye ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki hotel kadhaa Arusha na Mwanza, chanzo cha kuvuliwa uanachama ni usaliti wa kukitumikia chama cha CHADEMA wakiwa ndani ya CCM mwaka 2015 kwenye kampeni za uchaguzi.
 
417d88fd1146c81b7c50519c69b4fa95.jpg
 
CCM, Arusha imewafuta uanachama makada wake 1520 wakiwemo vigogo kadhaa, miongoni wao yumo mfadhili wa chama hicho, Mathias Manga ambaye ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki hotel kadhaa Arusha na Mwanza, chanzo cha kuvuliwa uanachama ni usaliti wa kukitumikia chama cha CHADEMA wakiwa ndani ya CCM mwaka 2015 kwenye kampeni za uchaguzi.
Kumbe uchaguzi haujaisha?
 
Back
Top Bottom