CCM wamo kwenye Korani - Mafisadi

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Yaani amini usiamini Qurani haikubakisa kitu ,nilipoisikia habari ya mafisadi ,nilijaribu kusoma soma na kutafuta kama kuna ukweli wowote wa haya yaliibuliwa ndani ya Tanzania kuhusu wabadhirifu wa mali na wenye kufisidi hazina ya Tanzania.
Katika Qurani kumetajwa watu wajulikanao Majuju natumai hata kwenye bibilia wamo ,mwenye ukumbusho anaweza kutuletea.
Hawa Majuju ni watu wanaoharibu na kufisidi kila kilicho mbele yao na inasemekana wataonekana na kuja karibu wa mwisho wa dunia na kwa vile dalili zakufikia mwisho wa dunia katika Uislamu zimeanza kuonekana naona hapa Tanzania tayari wameshafika ,maana hakuna wizara unayoigusa usione imemegwa na kuliwa ,ukienda kwenye ardhi na maliasili utaona wameanza kula na kubakiza mashimo inasemekana hawa Majuju wanakula hata mawe ,na ukitazama madini ni mawe na kula kwa lugha ya kileo ni kuiba hivyo imefiti hapo ,ukienda kwenye misitu halikadhalika utaona magogo na miti yote wanakula ,si ndio hapo kwenye biashara ya magogo Majuju wamepita ,na ukiangalia kule baharini ndio usiseme ,hawa jamaa wameifisidi nchi yote na kama wanavyosema yatabaki mashimo na jangwa tu ,Chama Cha Majuju.
Wiki endi njema.
 
This is not Breaking New!
Unajua maana ya Breaking News? If yes, could you rewrite your thread heading please! otherwisw its Ok, lets keep on.

kwi kwi kwi jamaa alikusudia kutoa ze comedy...
 
Ama kweli hili neno Breaking News limeanza kuhujumiwa, huyu Bwana anataka kutuambia kwamba hiyo Quran ndiyo inaandikwa sasa!!!!!! LOL
 
Kuna Vitabu Ambavyo Unaweza Kuvichezea Na Kuvitania Wakato Wowote Unaotaka Wewe , Kama Hivi Inavyofanyika Katika Koran
 
shy, sijakuelewa kama wewe hayo maneno yako yanalengo la kudhihirisha fact, au !

licha na maovu mengine uliyonayo, sikudhani kama unaingia kwenye kundi la wale watu wenye kuleta dharau kwa dini na vitabu vya dini vya wenzao.
 
Mwiba,

Sawa, ulitaka kumaanisha hawa wote mafisadi kwa majina yao wameandikwa ndani ya kitabu hicho? ama unamaaanisha nini Mkuu?
 
Kuna Vitabu Ambavyo Unaweza Kuvichezea Na Kuvitania Wakato Wowote Unaotaka Wewe , Kama Hivi Inavyofanyika Katika Koran

Chonde chonde Shy unazungumzia imani za watu wengine - kereketwa wako usikufanye huwa mvivu wa kufikiri - kumbuka maneno ni kama risasi yakisha kutoka hayazuiliki na madhara yake ni makubwa.

Nakushauri uombe msamaha kama ni Muungwana au utoe ufanunuzi.
 
Mwiba,

Sawa, ulitaka kumaanisha hawa wote mafisadi kwa majina yao wameandikwa ndani ya kitabu hicho? ama unamaaanisha nini Mkuu?
Nilikuwa namaanisha a construction or expression of one language whose parts correspond to elements in another language but whose total structure or meaning is not matched in the same way in the second language .
Ila hao wajuba wenye akili finyu huwa nawaachaga kama walivyo kwani asiyejua maana haambiwi huwachwa na ujuba wake as long as their elasticity lips rate prolong with their misunderstanding.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom