Elections 2010 CCM wamezoea kuchakachua

mwalimumpole

Member
Oct 17, 2010
48
0
Hawa sisimu wamezoea kuchakachua safari hii hata wabandike mabango ya mgombea wao, watumie ze old comedian kura hazitatosha, chadema is the new hope
 
Watanzania mmemuona dr slaa jana huyu ndiye rais wetu 2010 - 2015, ni nyerere mpya aliyeletwa tanzania hima tushirikiane kurudisha matumaini ya tanzania yaliyouwawa na mafisadi wa sisiemu
 
Back
Top Bottom