BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Wewe unaijua chato vizuri kabisa. Kuna watu wanaoneshwa picha za viwanja vya ndege vingine wanadhani ni chato. Jamaa mmoja alikuwa na picha ya Chato international airport, sasa alivoona Kenyatta anatua alishangaa kuona ni porini tuu hakuna jengo hata moja. Kwa sasa Bwanga, Nyakanazi tuu zimechangamka kuliko chato kwa mishe. Ukitaja buse na katoro umeenda mbali sana.Chato imekuwa njia kwa CCM kuwapa ghadhabu na jazba wapinzani mpaka kufikia baadhi yao kuropoka upuuzi..Mbowe anajua Mtego wa Chato humkuti akiingia kichwa kichwa kuuongelea wilaya hiyo...
Ukweli uko wazi halmashauri nyingi Za majiji na manispaa zinaboreshwa na kujengewa miundo mbinu mipya..
Ila Chato kwa makusudi Ccm wanaitangaza miradi hiyo kwa nguvu ili kuwaumiza wapinzani wao wakose Muda wa kujadili na kupanga mambo ya msingi na kubaki kuuongelea Chato..
Maana Chato ukiisikia mitandaoni na yenyewe ilivyo ni tofauti..Bora mtu Huishi Buseresere au Katoro Kuna mishe Za kufa mtu