ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 422
- 675
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..
KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali
Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..