CCM wameweza kuwatoa kwenye reli wapinzani wao kupitia CHATO

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
422
675
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
 
U better think twice
 
chato ndiyo mdudu gani? hebu tuache - Watanzania wana mambo ya msingi ya kufikiri na kuyafanyia kazi....chato chato tushachoka sasa
 
Na nihatari wakiienda. Bora wasiipende kabisa wabaki hukohuko, sisi tutaendelea na hawa waliopo hapa walioamua kuwa wana chato.
Chato imekuwa njia kwa CCM kuwapa ghadhabu na jazba wapinzani mpaka kufikia baadhi yao kuropoka upuuzi..Mbowe anajua Mtego wa Chato humkuti akiingia kichwa kichwa kuuongelea wilaya hiyo...

Ukweli uko wazi halmashauri nyingi Za majiji na manispaa zinaboreshwa na kujengewa miundo mbinu mipya..

Ila Chato kwa makusudi Ccm wanaitangaza miradi hiyo kwa nguvu ili kuwaumiza wapinzani wao wakose Muda wa kujadili na kupanga mambo ya msingi na kubaki kuuongelea Chato..
Maana Chato ukiisikia mitandaoni na yenyewe ilivyo ni tofauti..Bora mtu Huishi Buseresere au Katoro Kuna mishe Za kufa mtu
 
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
Asante Mzee wa reverse!
Wengi hawatakuelewa. Naona umeanza kurushiwa 'nonsense' kwa hili andiko lako.
 
Kama ni kweli basi ni hoja ya kipumbavu kama walivyo wapumbavu.

Na kwa taharifa yako hadaha wapumbavu kwani werevu wanajua hiyo wala siyo sera ya ccm kuipendelea chato namna hiyo .
Hiyo ni mipango binafsi ya mtu,tena hayo matumizi hayana wala bajeti na bunge wala halijui,ni ufisadi

Time will tell.
 
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..

Yaani sijui unamdanganya nani bwana mchambuzi?

Eti unapendelea Chato eti kama mtego?

Eti ni mtego ili uzungumziwe?

Eti ni mtego!

Can you hear yourself you smurf chump change?
 
Mbinu hii inaweza sema ni ya kitoto ila imefanikiwa sana kwa CCM,kimsingi miradi yote ya Chato haizidi bilion 500 kwa miaka hii mitatu,ukilinganisha na wilaya zingine..

KWA NINI CHATO..?
Ccm kupitia serikali wameamua kuitangaza kwa nguvu Chato ili kuwapa panic ya nguvu wapinzani wao na hasira ili wabaki kuijadili Chato na kuacha kuzungumzia mambo ya msingi kuhusu uborongaji WA serikali

Pia kuwafanya wapinzani wao ndio wenye ukabila na ukanda,kwa kuwa vitu vya maendeleo vikifanyika kwao hawaongelei ila Kanda ya ziwa na Chato ndio wanakosoa..ndio maana hata wapinzani wenye uelewa wamestukia mtego huu WA CHATO..
....
....crecha Mnama
 
Chato imekuwa njia kwa CCM kuwapa ghadhabu na jazba wapinzani mpaka kufikia baadhi yao kuropoka upuuzi..Mbowe anajua Mtego wa Chato humkuti akiingia kichwa kichwa kuuongelea wilaya hiyo...

Ukweli uko wazi halmashauri nyingi Za majiji na manispaa zinaboreshwa na kujengewa miundo mbinu mipya..

Ila Chato kwa makusudi Ccm wanaitangaza miradi hiyo kwa nguvu ili kuwaumiza wapinzani wao wakose Muda wa kujadili na kupanga mambo ya msingi na kubaki kuuongelea Chato..
Maana Chato ukiisikia mitandaoni na yenyewe ilivyo ni tofauti..Bora mtu Huishi Buseresere au Katoro Kuna mishe Za kufa mtu
Usiisingizie ccm. Kinachofanywa na ccm kipo kwenye ilani,

Hivi ukisikua kesho kuwa bandari ile iliyokuwa ijengwe bagamoto itajengwa chatto je itakuwa waliofanya hivyo ni ccm? Lol!
 
Eti wanasema kuwa baada ya miaka kama 30 hivi Chattle itakuwa kama New York????!!!!!
 
Back
Top Bottom