CCM Wamewazadia Mkumbo Na Mnghwira, Hawa Walifanya Nini Wakazawadiwa Na CHADEMA?

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
1. Dr. Wilbroad Slaa
2. James Milya
3. Edward Lowassa
4. Ester Bulaya

Na wengine wengi.
Wote hao walitoka CCM kama leo, kesho wakateuliwa na CHADEMA huku waliokipigania Chama kama akina Ben Saanane wakiwa wamebaki midomo wazi. Walizawadiwa kwa kazi gani walioifanyia CHADEMA wakiwa CCM?

Tafakari!
 
1. Dr. Wilbroad Slaa
2. James Milya
3. Edward Lowassa
4. Ester Bulaya

Na wengine wengi.
Wote hao walitoka CCM kama leo, kesho wakateuliwa na CHADEMA huku waliokipigania Chama kama akina Ben Saanane wakiwa wamebaki midomo wazi. Walizawadiwa kwa kazi gani walioifanyia CHADEMA wakiwa CCM?

Tafakari!
Hawa wana vyeo gani CHADEMA?
 
Haaa wew ndo nyumbu kabisa esta alitoka ccm wiki chache akapewa nafasi ya kugombea ubunge na lowasa hivyo hivyo
 
Kauli ya Mkuu kuwa hatateua / kushirikia na mpinzani kwenye utawala wake Ndiyo hoja. Chadema hawajawahi kushika dola ujuwe, hao uliotaja walipokelewa kama wanachama wapya baada ya kukana uanachama wao kwa CCM. Mgwira na Mkumbo bado ni wanachama wa ACT. Sioni cha kutafakari hapo.
 
Hapa ndipo penye kutafakari,Ana na mwenzake pamoja na ACT kwa ujumla wake,hii zawadi waliyozawadiwa na CCM waliifanyia nini CCM?wakati walikuwa wanadai ni wapinzani wa CCM?.
 
Hii thread ina negative altitudes kwa ccm.

Napendekeza uongezewe mbuku mbili kwa kuipenda tanzania kwa jinsi hii.
 
Mzee wa chattle alisema na akasisitiza hatateua watu toka upinzani ili wahudumu ktk serikali,na kwa kuzingatia hilo akamteua mwana ccm bi anna mgwira ambaye alikua act kwa kazi maalum
 
Mkulu kasema hateui wapinzani, alioteua ni CCM. Hivo basi kama hateui CDM maanake hao ndio wapinzani halisi.
 
Back
Top Bottom