CCM wamevunja katiba ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wamevunja katiba ya Tanzania?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 8, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hivi ni kweli CCM wamevunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuwazuia wagombea wao kushiriki kwenye midahalo ya TV? ThisDay wamefafanua hili Home*ยป*Insight

  Kama hiki chama, CCM, wanavunja katiba namna hii, kuwanyima wagombea wao 'freedom of expression' wanafaa kweli kurudi madarakani? Harafu wanataka kuvunja tena katiba kwa kulitumia jeshi siku ya uchaguzi kwa kutangaza hali ya hatari possibly kwa kutoa amri ya kutokutembea usiku wa 31 Okt kuamkia 1 Nov 2010 (freedom of movement).

  Kuburi hiki kinatoka wapi, wakati waajili ni sisi?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwani ndo unastukia leo besti?
  Walishaisigina zamani sana na kuitelekeza!
  Katiba ingekuwepo tusingekuwa na rais asiye na meno!
  Rafiki yangu Teamo anasemaga rais wetu ni 'ceremonial' tu!
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Walishaivunja,wanaivunja na wataendelea kuivunja nani anawatisha?Lakini tusichoke kukemea kwani huu ni wajibu wetu
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  JK ametupasha ya kuwa CCM itafanya lolote lile liwezekanavyo kubaki madarakani. "..lolote lile liwezekanavyo" yamaanisha ni pamoja na kusigina Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

  Hawa watu wa CCM siyo wacha Mungu na ndiyo maana kashfa zinawaandama popote waendapo na mwisho wao ni sasa.
   
 5. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,493
  Likes Received: 1,223
  Trophy Points: 280
  katiba na mawazo ya makamba kipi kipo juu
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mawazo ya makamba!
   
 7. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Duuhhhh!!!!!!!! swali gumu bana, makamba is the final
   
Loading...