Ccm wametumia bil 2.6 kusaka kura 3823! Kila kura ya ushindi imegharim tzs 680094.00

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Hii ni hari ya kusikitisha ndani ya nchi baada ya kuona chama tawala ambacho kimekuweko tangu enzi kinatumia kiasi kikubwa ambacho kingeweza kutumiwa siku za nyuma na kuwaletea wana igunga maendeleo makubwa!ccm wametumia shiling bilion tatu huku wenzao shiling mil 400.kwa urahisi ni kwamba iwapo ccm wametumia 3bil wakapata kura 26266 na cdm kutumia mil 400 na kupata kura 22443, maana yake ccm wametumia bil 2.6 zaidi kupata kura 3823 ili wawe washindi!tafsiri nyingine ni kwamba ccm tzs 3,000,000,000.00/26266=114,216 kwa kila kura kura huku chadema wakitumia 400,000,000/22443=17,822.ccm mil 400 cdm mil 400 22,443 (3823=2.6bil) 22,443 au kwa kila kura ya ushindi imegharimu ( 3bil za ccm-400mil za cdm=2.6bil extra kwa ccm)hivo tzs 2,600,000,000.00/3823=tzs 680,094.00 kwa kila kura ya ushindi.added adv kwa ccm1.wapo madarakani kwa muda mrefu kuliko chama chochote2.wameshiriki chaguzi zote katika ngazi yoyote zaidi ya miaka 30.wana wanachama nchi nzima kulinganisha na chama chochote kile4.wametumia mali za serikali kama magari na viongozi wa serikali ndani ya muda wa kazi kuwasaidia kwenye kampenicha ajabu.1.ni kwanini watumie gharama zote hizi hali wananchi wapo na wanajua walichofanya?2.kuna haja gani ya kuhamishia serikali igunga kwa ajili ya chaguzi ya jimbo moja?my take, kwa upepo wa kisiasa wa sasa na kilio cha watu juu ya mabadiliko, kamwe huwezi tumia siasa za zamani, pona yako itakuwa ni kuleta maendeleo na sio kutoa pesa kama inavozoeleka!watu tumechoka tunataka maendeleo, watumishi mishahara imecheleweshwa, madeni hayalipwi, deni la nchi linaongezeka, kisa watu wachache wanaficha uozo wao, mwenye mimba kamwe hawezi kuficha, ipo siku tumbo litaonekana!
 
Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
10,241
5,902
Hayo ndiyo magamba...vijana wamemaliza vyuo hakuna Ajira..,Pesa wameishika wao na wanatumia kwenye upuuzi.
 
TOWNSEND

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,598
460
mbona msajili wa vyama alisema mwisho m 80 kwa kila chama kupiga kampeni? tuone kama watapewa adhabu gani.....
 
Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256
Hii ni hari ya kusikitisha ndani ya nchi baada ya kuona chama tawala ambacho kimekuweko tangu enzi kinatumia kiasi kikubwa ambacho kingeweza kutumiwa siku za nyuma na kuwaletea wana igunga maendeleo makubwa!ccm wametumia shiling bilion tatu huku wenzao shiling mil 400.kwa urahisi ni kwamba iwapo ccm wametumia 3bil wakapata kura 26266 na cdm kutumia mil 400 na kupata kura 22443, maana yake ccm wametumia bil 2.6 zaidi kupata kura 3823 ili wawe washindi!tafsiri nyingine ni kwamba ccm tzs 3,000,000,000.00/26266=114,216 kwa kila kura kura huku chadema wakitumia 400,000,000/22443=17,822.ccm mil 400 cdm mil 400 22,443 (3823=2.6bil) 22,443 au kwa kila kura ya ushindi imegharimu ( 3bil za ccm-400mil za cdm=2.6bil extra kwa ccm)hivo tzs 2,600,000,000.00/3823=tzs 680,094.00 kwa kila kura ya ushindi.added adv kwa ccm1.wapo madarakani kwa muda mrefu kuliko chama chochote2.wameshiriki chaguzi zote katika ngazi yoyote zaidi ya miaka 30.wana wanachama nchi nzima kulinganisha na chama chochote kile4.wametumia mali za serikali kama magari na viongozi wa serikali ndani ya muda wa kazi kuwasaidia kwenye kampenicha ajabu.1.ni kwanini watumie gharama zote hizi hali wananchi wapo na wanajua walichofanya?2.kuna haja gani ya kuhamishia serikali igunga kwa ajili ya chaguzi ya jimbo moja?my take, kwa upepo wa kisiasa wa sasa na kilio cha watu juu ya mabadiliko, kamwe huwezi tumia siasa za zamani, pona yako itakuwa ni kuleta maendeleo na sio kutoa pesa kama inavozoeleka!watu tumechoka tunataka maendeleo, watumishi mishahara imecheleweshwa, madeni hayalipwi, deni la nchi linaongezeka, kisa watu wachache wanaficha uozo wao, mwenye mimba kamwe hawezi kuficha, ipo siku tumbo litaonekana!

Unajisikiaje unapokuja kwa wanaume wanzako na hoja ya kuchonga? hebu tupatie source of your information especially ghalama hizo za uchaguzi ulikozitoa, mfano kutoka labda tume ya uchaguzi, au gazeti la sani? na nk. kwa lugha rahsi tunaomba ujustfy data zako kisomi siyo kishabiki. tunahitaji kuzitumia na hatimae tuchukue maamuzi yenye maslahi kwetu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom