Elections 2010 CCM wameshaanza kuchakachua!

details... ni nini kinachoendelea? Taarifa za wazi ni kwamba Mdee kidedea... PLEASE give us details - tusije kupanda jazba za bure.
 
MOD MKUU...naomba unipe uMOD japo kwa leo tu niwe nafyekelea mbali threads za ajabu ajabu
 
wanachakachua matokeo ya madiwani. Matokeo yaliyokubaliwa jana ni tofauti na yale yaliyopelekwa kwenye majumuisho. Inasemekana kuna baadhi ya sehemu wamefuta. Baada ya mawakala kuyakataa, wamewalazimisha waubali kuhesabu tena. Lakini wananchi wanakataa kurudia kuhesabu kwa kuwa tayari mabox ya kura yalikuwa mikononi mwa hao wezi. Kwa hiyo kuna utata mkubwa sana unaendelea huko
 
Wananchi wazidi kuwakalia kooni hao mafisadi wasiwape upenyo kabisa.
 
wanachakachua matokeo ya madiwani. Matokeo yaliyokubaliwa jana ni tofauti na yale yaliyopelekwa kwenye majumuisho. Inasemekana kuna baadhi ya sehemu wamefuta. Baada ya mawakala kuyakataa, wamewalazimisha waubali kuhesabu tena. Lakini wananchi wanakataa kurudia kuhesabu kwa kuwa tayari mabox ya kura yalikuwa mikononi mwa hao wezi. Kwa hiyo kuna utata mkubwa sana unaendelea huko

Jamani wana Kawe msikubali, matokeo rasmi ni yale yaliyohesabiwa na kusainiwa na mawakala jana. Kamwe jambo la kuhesabu upya kataeni.
 
Jamani Kawe Komaeeni wasije wakaleta mazingaombwe.

QUOTE=Dr Hope;1201903]Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...[/QUOTE]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom