MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 453
Ccm wameishiwa Sera Leo hii mgombea wao anasema atapunguza baraza la mawaziri kwa kuiba sera ya ukawa. Hebu tujiulize kwa jinsi walivyo kuwa na utamaduni wa kulindana na kupeana madaraka hilo kwao litawezekana? Kwa mtazamo wangu hiyo ni danganya toto ili kupata kura. Na kama ni hivyo, Ina maana wamesapoti rasimu ya warioba walio ikataa. Hawa jamaa wananichekesha sana. # mabadiliko 2015.