Ccm wamesahau kuwa walisapoti katiba yao na si ya wananchi

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500
Ccm wameishiwa Sera Leo hii mgombea wao anasema atapunguza baraza la mawaziri kwa kuiba sera ya ukawa. Hebu tujiulize kwa jinsi walivyo kuwa na utamaduni wa kulindana na kupeana madaraka hilo kwao litawezekana? Kwa mtazamo wangu hiyo ni danganya toto ili kupata kura. Na kama ni hivyo, Ina maana wamesapoti rasimu ya warioba walio ikataa. Hawa jamaa wananichekesha sana. # mabadiliko 2015.
 

Kojo Dowido

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
354
0
Baada ya kuazima mgombea kutoka ccm ukiwa bado mmeshupaza shingo kuhusu katiba ya wananchi. ukiwa hamna mshipa wa aibu. mnaimba kabisa tunaimani na lowasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom