Elections 2010 CCM wamekosa cha kumkosoa Slaa tungewasikia wamebakisha udini hewa

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
siasa zilizopitwa na wakati za maji taka hata wananchi wanawashangaa
wanajiuliza iweje kila chama cha upinzani kiwe cha kidini?
wanajiuliza ule ukabila wa Chadema umeishia wapi?

CCM hawana lingine wameishiwa hawana sera! yanaona haya hayooooooooo.
 
Wewe Quinine. Una maana CCM wanamgeuza Slaa kuwa ni mwakilishi wa dini? Rubbish you
 
Nililtegemea uwepo wa Quinine kungesaidia kuponya Malaria Sugu lakini kumbe hamna kitu.
 
Mkuu Joss, nahisi hujamuelewa Quinine, ebu rudia kumsoma mkuu!

Mkuu Rwabu.........ni kweli kabisa......naona wandigu....hawakumpata kisawasawa......hi dawa ya Malaria Sugu..............BTW......usipotee hivyo Mkuu.......inafurahisha kukuona kwa mara nyingine.............
 
Nililtegemea uwepo wa Quinine kungesaidia kuponya Malaria Sugu lakini kumbe hamna kitu.
Kumbe kuna watu walikuwa wanafurahia udini uliokuwa unaenezwa na Malaria Sugu, mimi nimesema sisiem na MS hawana sera wamebakia kueneza udini tu, kama wewe ni kijani na ulikuwa unategemea MS aeneze udini pole.
 
Back
Top Bottom