CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?

Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?
 
Ndio kete yao ya mwisho iliyobakia ya kupiga ramli na kuwaaminisha watu kuamini kuwa bahari ya Hindi inaweza kuhamishiwa Morogoro
 
Hao wenyewe wanaopata ujira wamechoshwa na hiyo hali hiyo wapo wapo tu. Ukiangalia utawajua hawako analytical kabisa. ambapo wenye akili wanawadharau

Sasa wameamua kuwasaliti ndugu zao wanao pata tabu vijijini hawapati huduma bora
 
Mwaka huu mtatafuta mchawi sana, vipi kipondo cha Dokta Slaa? yu hai yu hoi? leo anahutubia wapi?
 
Wewe juzi juzi hapa ulikuwa unalia na ufisadi uchimbaji wa visima kijijini kwenu huko mkoa wa Dom bado unamtumikia mkoloni mweusi huoni hata haya wewe kibibi?
 
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?
Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?

Mzee wa Pembe za Ndovu ameapa na amewapanga vijana kuhakikisha mwisho wa CHADEMA ati June 2014.Vijana wengi waliopewa jukumu hilo wengi ni kula kulala wanaotegemea ukwasi wa kifisadi wa baba zao.
 
Yaani inasikitisha kijana kufanya kazi kwa niaba ya mkoloni mweusi kisha nchi inadidimia
 
Wewe juzi juzi hapa ulikuwa unalia na ufisadi uchimbaji wa visima kijijini kwenu huko mkoa wa Dom bado unamtumikia mkoloni mweusi huoni hata haya wewe kibibi?

Slaa na Mbowe walipewa fedha za visima si mara moja na Sabodo, wamezifanyia nini?

Kumbuka hizo ni fedha tofauti, muulize Slaa na Mboowe wamezifanyia nini? au ndio ile mikopo?
 
pesa za visima kila jimbo linaloongozwa na wapinzani toka kwa sabodo ....
huu ni mjadala ambao unatakiwa tupate majibu
faiza Fox tusaidie kuandaa thiredi kwasababu naona una badhii ya vielelezo muhimu
 
Last edited by a moderator:

Leo najipumzikai home, hebu ngoja nianzishe thread ya kuhoji hili, ni vizuri chama changu kiweke majibu humu!
 
pesa za visima kila jimbo linaloongozwa na wapinzani toka kwa sabodo ....
huu ni mjadala ambao unatakiwa tupate majibu
faiza Fox tusaidie kuandaa thiredi kwasababu naona una badhii ya vielelezo muhimu

Itajaa matusi hiyo thread hata shetani ataiogopa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
pesa za visima kila jimbo linaloongozwa na wapinzani toka kwa sabodo ....
huu ni mjadala ambao unatakiwa tupate majibu
faiza Fox tusaidie kuandaa thiredi kwasababu naona una badhii ya vielelezo muhimu

Tayari thread imeanzishwa hebu Fox atujazie mavielelezo!
 
AVATI pia uulizie na hela za ofisi pale mwenge
 
Last edited by a moderator:
Ni dhahiri shahili CCM kuelekea ukingoni mwa mwaka huu wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda, ni kweli sasa hivi CCM inatumia vijana kwa vibibi kwenye mitandao ya kijamii kupiga propaganda na kupotosha umma, kwa hili naona wamefanikiwa kwa kiasi flani kufanya siasa kwenye mitandao ya kijamii kwani wametoa ajira kwa vijana na vibibi kushinda kwenye mitandao kufanya siasa na propaganda, lakini wanasahau kuwa Mtanzania wa kawaida anata maji safi, umeme wa uhakika, Elimu bora, Barabara vijijini zipitike muda wote, Bei za mazao zilidhishe, Huduma bora za afya n.k kwa hili CCM wamelala fofofo wao wamejikita kwenye propaganda wananchi wanataka maji safi wewe unakuja unawaambia CHADEMA chama cha ukanda, cha kidini, cha ukabira haya yanamsaidia nini mwananchi wa kawaida aliyevuna Kahawa yake Bukoba au aliye vuna Korosho yake Lindi na Mtwara je yatamsaidia bei kupanda?
Vijana wapenda mabadiliko ya kweli ni muda muafaka sasa wa kupambana na mkoloni mweusi ambae ni baba ako, mama ako, kaka ako, dada ako, bibi yako, babu yako, mjomba ako, shangazi yako ambaye analewa propaganda za CCM ili aendelee kumwachia mkoloni mweusi akifaidi keki ya taifa na familia yake na rafiki zake hili halikubaliki Taifa hili la Tanzania ni la waTanzania sote haijalishi wewe ni UDP, CCM, CHADEMA au CUF bila kujali kabila lako, dini yako, wala ukanda unao toka haki itendewe kwa wote.
CCM mmeajiri vijana kufanya siasa za maji taka kwenye mitandao ya kijamii lakini wananchi hawataki habari za Zitto awe mwenyekiti, Mbowe atolewe, Seif amenogewa na umakamu wa rais wananchi wanataka maendeleo mmewafanyia nini wananchi? Mpaka mjinasibu mwendelee kukaa madarakani?

Yaani wewe ndiyo wa kuleta upuuzi huu. Nimekudharau sana aisee. Sikuamini tena
 
Back
Top Bottom