ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Huo ndio ukweli wenyewe, wamejipanga ili kuwaaminisha watanzania na ulimwengu mzima ccm na serikali yake bado inapendwa na wananchi
Huku mkoani kwetu kuna kata mbili zinafanya huo uchaguzi, kata moja ni kwa sababu aliyekuwa diwani wa ccm kufariki na kata ya pili kwa sababu aliyekuwa diwani wa chadema kukacha uanachama wa chadema na kurudi ccm
Kinacho onyesha ccm na mkakati wao huo ni kwamba uongozi wa ccm wa mkoa mzima ukiwa na magari sita yakishinda kwenye kata hizo.