CCM wamechakachuliwa, hutaki unaacha!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,129
Hii dhambi inawahusu wanabadiliko!

CCM wamechakuliwa maoni yao kwenye rasimu ya katiba mpya, hawakuamini kabisa kilichotokea kwenye hii rasimu, bila shaka wanahisi wamechakachuliwa maoni yao maana mapendekezo ya wapinzani karibu yote ila sio yote yamekuwepo kwenye rasimu, ila mapendekezo ya CCM karibu yote kwa ujumla yametupwa kama ndomco iliyotumika!

Habari ndio hio hutaki jikatae!
 
Rasimu ni Mawazo wa Wananchi na sio CCM.
Vyma vy a Upinzani husani CHADEMA wanajua nini Wananchi wanataka, Hili ni Tatizo kubwa sana kwa CCM.
So Kama Rasimu ya Katiba imejaa Mapendekezo Mengi ya Wapinzani Basi Wapinzani na wananchi Dam Dam
Ma CCM yanafikiria kuwa ndo yana Hati Miliki ya Wananchi.
Kama Vp Hayo Maoni yenu yawekeni kwenye Katiba yenu
Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hivi rais hawezi kupangiwa safari kikatiba.
Maana jk kazi yake ni kutalii maghorofa Singapore na kuwakaimisha uraisi akina Kigwangala.

Ningependa safari za raisi ziidhinishwe kwenye katiba.!
 
Back
Top Bottom