CCM wamalizen CHADEMA kwa haya kwenye majukwaa

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau,

Mwaka huu CCM ya Magufuli sidhani kama itatumia nguvu nyingi kwenye kampeni sababu Serekali imeshafanya mambo mengi ambayo mpakasasa wananchi wamefuraia na kuonesha kufurahishwa na Utendaji wa awamu hii.

Yote kwa yote Ila siasa mchezo mchafu maana kuna watu wanaweza kutengeneza propaganda ambayo itakuchafua hata kama ukishindwa utaendelea kukutafuna kama kansa mwisho wa siku utaathirika

Sasa napenda niwashauri CCM kwenye kampeni nyie fanyeni siasa safi waonesheni wananchi mmefanya nini na wakiwapa tena muda mtafanya nini Ila kama CHADEMA watashindwa kufanya siasa safi na kuanza kuleta propaganda sababu ya kukosa ajenda basi waambieni Wananch yale mambo ambayo CHADEMA na Act wanayataka na kuahidi kuyatekeleza

Tukianzia na suala la ushoga alilokuwa analipambania Tundu Lissu. Pia mkumbuke Tundu Lissu aliulizwa kuhusu ushoga akasema yeye akiwa kiongozi hawezi kumyima mtu Uhuru wa kufanya kitu.

Pia suala la wanafunzi kuruhusiwa kwenda na mimba shuleni na baada ya kujifungua kuendelea na shule yaani CHADEMA wanataka tuache ule msemo wa wazee wetu samaki mmoja akioza mtoe kabla hajaozesha wengine
 
badae unataka kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya mkoa? alafu nawazo yako ndio hayo. kuyapata maendeleo kunakazi
 
Ingekuwa chadema Ni wepesi wala msingeitumia tume kuhalalisha wakala sio lazima kupewa nakala ya matokeo.ccm haijiamini kabisa.kama mnapendwa si mtachaguliwa kwenye sanduku LA kura? Hofu ya nini?
 
Tusidanganyane Chadema bado ni threat tunahitaji mbinu za kisasa na kiuweledi kuweza kuwamaliza kwenye uchaguzi huu.tulioko field tunajua
 
Habari wadau
Mwaka huu CCM ya Magufuli si dhan Kama itatumia nguvu nyingi kwenye kampen sababu serekal imesha fanya Mambo mengi ambayo Mpaka Sasa wananch wamefuraia na kuonyesha kufuraishwa na Utendaj wa awamu hii

Yote kwa yote Ila siasa mchezo mchafu Mana Kuna watu wanaweza kutengeneza propaganda ambayo itakuchafua hata Kama ukishindwa utaendelea kukutafuna Kama kansa mwisho wa siku utaathirika

Sasa napenda niwashaur CCM kwenye kampen nyie fanyen siasa Safi waonyeshen Wana nchi mmefanya nin na wakiwapa Tena muda mtafanya nin Ila Kama chadema watashindwa kufanya siasa Safi na kuanza kuleta propaganda sababu ya kukosa ajenda Basi waambien Wananch Yale Mambo ambayo chadema na Act wanayataka na kuahid kuyatekeleza

Tukianzia na swala la ushoga alilokua analipambania tundulisu.
Pia mkumbuke tundulisu aliulizwa kuhusu ushoga akasema yeye akiwa kiongoz hawezi kumyima mtu Uhuru wa kufanya kitu.

Pia swala la wanafunzi kuruusiwa kwenda na mimba shulen na baada ya kujifungua kuendelea na shule Yan chadema wanataka tuache ule msemo wa wazee wetu samaki mmoja akioza mtoe kabla hajaozesha wengine

Ukiona ccm inatumia vyombo vya dola na uhayawani wa wazi kusalia madarakani, ujue hayo yote wamefanya lakini kizazi kimeshabadilika kinataka ladha mpya.
 
Korona tu ukiitumia kwenye kampeni unawamaliza, zile bil 8 kwisha, kutokutoa fursa za uchaguzi ndani ya vyama vyao inaua kila kitu

Ccm naifananisha na mwanaume mzee aliyemsomesha binti mpaka chuo kikuu, lakini huyo binti ana mapenzi ya dhati na kijana mwingine. Kizazi hiki sio cha ccm, kizazi hiki kinataka chama kingine cha kisasa sio hicho cha kizee.
 
Jidanganye hapo CCM sijaona wapambanaji wa kweli isipokuwa mmoja tu ambaye hapewi support. Support anayopewa na jeshi la polisi kuumiza wananchi. Nani wa kusimama kumpinga Lissu
 
Habari wadau
Mwaka huu CCM ya Magufuli si dhan Kama itatumia nguvu nyingi kwenye kampen sababu serekal imesha fanya Mambo mengi ambayo Mpaka Sasa wananch wamefuraia na kuonyesha kufuraishwa na Utendaj wa awamu hii

Yote kwa yote Ila siasa mchezo mchafu Mana Kuna watu wanaweza kutengeneza propaganda ambayo itakuchafua hata Kama ukishindwa utaendelea kukutafuna Kama kansa mwisho wa siku utaathirika

Sasa napenda niwashaur CCM kwenye kampen nyie fanyen siasa Safi waonyeshen Wana nchi mmefanya nin na wakiwapa Tena muda mtafanya nin Ila Kama chadema watashindwa kufanya siasa Safi na kuanza kuleta propaganda sababu ya kukosa ajenda Basi waambien Wananch Yale Mambo ambayo chadema na Act wanayataka na kuahid kuyatekeleza

Tukianzia na swala la ushoga alilokua analipambania tundulisu.
Pia mkumbuke tundulisu aliulizwa kuhusu ushoga akasema yeye akiwa kiongoz hawezi kumyima mtu Uhuru wa kufanya kitu.

Pia swala la wanafunzi kuruusiwa kwenda na mimba shulen na baada ya kujifungua kuendelea na shule Yan chadema wanataka tuache ule msemo wa wazee wetu samaki mmoja akioza mtoe kabla hajaozesha wengine
Tundulisu ni Pappet, alisema vile ili apate airtime BBC, alijua akifanyacho kitawafurahisha wazungu
 
Habari wadau,

Mwaka huu CCM ya Magufuli sidhani kama itatumia nguvu nyingi kwenye kampeni sababu Serekali imeshafanya mambo mengi ambayo mpakasasa wananchi wamefuraia na kuonesha kufurahishwa na Utendaji wa awamu hii.

Yote kwa yote Ila siasa mchezo mchafu maana kuna watu wanaweza kutengeneza propaganda ambayo itakuchafua hata kama ukishindwa utaendelea kukutafuna kama kansa mwisho wa siku utaathirika

Sasa napenda niwashauri CCM kwenye kampeni nyie fanyeni siasa safi waonesheni wananchi mmefanya nini na wakiwapa tena muda mtafanya nini Ila kama CHADEMA watashindwa kufanya siasa safi na kuanza kuleta propaganda sababu ya kukosa ajenda basi waambieni Wananch yale mambo ambayo CHADEMA na Act wanayataka na kuahidi kuyatekeleza

Tukianzia na suala la ushoga alilokuwa analipambania Tundu Lissu. Pia mkumbuke Tundu Lissu aliulizwa kuhusu ushoga akasema yeye akiwa kiongozi hawezi kumyima mtu Uhuru wa kufanya kitu.

Pia suala la wanafunzi kuruhusiwa kwenda na mimba shuleni na baada ya kujifungua kuendelea na shule yaani CHADEMA wanataka tuache ule msemo wa wazee wetu samaki mmoja akioza mtoe kabla hajaozesha wengine
Mnaanza na vilichokifanya cdm ikue.
Njia pekee ya kuiuwa chadema ni kutatua changamoto za wananchi,yaani kupambana na umasikini nchini, umasikini ukiisha upinzani nao utakufa, Kama walivofanya chama cha ukombozi cha watu wa China,cdm inamalizwa kwa matumizi ya akili na sio nguvu.
 
Ahahahahahah nataman kampen zianje Mimi Mana chadema wanavyo waongelea wanach utasema wanao semwa wapo kwel
 
Habari wadau,

Mwaka huu CCM ya Magufuli sidhani kama itatumia nguvu nyingi kwenye kampeni sababu Serekali imeshafanya mambo mengi ambayo mpakasasa wananchi wamefuraia na kuonesha kufurahishwa na Utendaji wa awamu hii.

Yote kwa yote Ila siasa mchezo mchafu maana kuna watu wanaweza kutengeneza propaganda ambayo itakuchafua hata kama ukishindwa utaendelea kukutafuna kama kansa mwisho wa siku utaathirika

Sasa napenda niwashauri CCM kwenye kampeni nyie fanyeni siasa safi waonesheni wananchi mmefanya nini na wakiwapa tena muda mtafanya nini Ila kama CHADEMA watashindwa kufanya siasa safi na kuanza kuleta propaganda sababu ya kukosa ajenda basi waambieni Wananch yale mambo ambayo CHADEMA na Act wanayataka na kuahidi kuyatekeleza

Tukianzia na suala la ushoga alilokuwa analipambania Tundu Lissu. Pia mkumbuke Tundu Lissu aliulizwa kuhusu ushoga akasema yeye akiwa kiongozi hawezi kumyima mtu Uhuru wa kufanya kitu.

Pia suala la wanafunzi kuruhusiwa kwenda na mimba shuleni na baada ya kujifungua kuendelea na shule yaani CHADEMA wanataka tuache ule msemo wa wazee wetu samaki mmoja akioza mtoe kabla hajaozesha wengine
Propaganda za kitoto
 
Back
Top Bottom