Ccm walisafirisha tembo 130 kwenda nje ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm walisafirisha tembo 130 kwenda nje ya nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakolo, Jul 17, 2011.

 1. k

  kakolo Senior Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Source: Mh 6 Mbeya - Mwananchi.

  Mheshimiwa Sita akihutubia wakazi wa Mbeya katika mkutano wa kukisafisha chama na kujibu hoja mbalimbali za wapinzani.

  “Hivi karibuni kuna wenzetu walisafirisha wanyama wetu aina ya twiga wapatao130 kuwapeleka Uarabuni, hii hali hatutaweza kukubaliana nayo, lazima tupambane,” alisema

  Maoni yangu Hosea atamuomba kidhibiti ya aliyosema ili watuhumiwa wafikishwe mahakamani. Anawajua maana amewaita alivyowaita wenzake naona haitakuwa ngumu.

  Nawasilisha.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,850
  Trophy Points: 280
  Mimi nina ushahidi magari ya ofisi ya waziri mkuu hubeba pembe za ndovu toka tunduru kuja dar kuwauzia wachina!
   
 3. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,009
  Likes Received: 1,235
  Trophy Points: 280
  tutayajua mengi sana. Ila tumewavumilia sana sasa tumechoka
   
 4. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Chama Cha Majambazi hiyo ndiyo kazi yake.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,896
  Likes Received: 19,461
  Trophy Points: 280
  Kichwa cha habari "tembo", habari kamili "twiga". Unanshangaza!
   
 6. k

  kakolo Senior Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Zote nyara za serikali.
   
 7. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,532
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kumbe unaanza kupata akili eeeh?
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,896
  Likes Received: 19,461
  Trophy Points: 280
  Si unanfundisha wewe! Unachekesha!
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,896
  Likes Received: 19,461
  Trophy Points: 280
  "kuna wenzetu" ndio maana yake CCM ? chunga sana kijana, kama hujui lugha ustake kuchakachuwa.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 145
  title inasema tembo, content inasema twiga

  bange, bange, bange
  inasababisha mi-nipokwe
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  People wenzake Sitta wameanza na wanyama now are we next baada ya kuwamaliza hao huko ?Tuamke na tuwe macho .
   
Loading...