CCM Walipojikwaa na ufisadi kama dalili za kifo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Walipojikwaa na ufisadi kama dalili za kifo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Oct 7, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  CCM walianza jiweka mazingira ya kujikwaa walipotengue Azimio la arusha na kuja na la Zenj.Wakaja jikwaa walipoanzisha ubishi wa "takrima" hapa walishaanza pata kichaa na hivyo kujikwaa .Walipojikwaa na kuangukia kwa ujumla katika wimbi wa ufishadi ,rushwa na kila kitu ndio walipopoteza fahamu halisi nini ni rushwa na nini si rushwa.Wakruhsu mwenye kelele nyingi aweze halalisha rushwa kwa kuwalazimisha kuona ni takrima.CCM wakapoteza kabisa tofauti ya black na white na kujikuta wakivaa grey.Katika grey kila mtu taiona tofauti kadiri mwanga uanvyobadilika.CCM ikiwa natabia za kijamaa,tabia za kuziba mwanga(uhuru wa habari na fikra) basi wakaruhusu mwenye kushika taa aamue kiasi cha kuruhsuru mwanga na hivyo kuachia taswira isiyo halisi.

  Wakiwa na bumbuazi CCM wakaamua kuja na ulevi mwingine wa kuvua "gamba" huku wakiwa katk grey world yao,huku pakiwa na mabadiliko ya mwanga nahiyo wao kuona taswira isiyo halisi.CCM wakiwa hwajui nani ni gamba na nani si gamba wanafanya biashara ya kukata tawi la mti walilokalia.Soon CCM wote watakuwa wamejiua kwa kuanguka na matawai waliyoyakalia.

  Sasa wanaotaka mfuta Lowasa wanahakina kuwa watamaliza tatizo?Kama bado wanaangalia taswira ya grey katika mwangausio halisia?

  Hapa ndipo wachambuzi ingawa wanatumia maneno tofauti wanapoona kuwa ccm haiwezi pona tena.Ki ujumla haina tena positive energy ya kuwapeleka mbele.Ni kama gari lenye tairi zinazovuta gari pande tofauti kwa nguvu moja ila upande wa kurudi nyuma kuna mteremko na muda si mrefu utatoa balance na hivyo gari kurudi nyuma huku likiburuza tairi za mbele.
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Sasa sumaye analalama rushwa,ila anasahau kuwa ilihalalishwa kwa kura nyingi kipindi cha takrima.Kipindi kiichoonyehsa jinsi CCM ilikuwa addict wa rushwa.Sasa leo ni kitu hawajui wakitoe kwa kuanzia wapi au ipi ni rushwa na ipi nihaki yao.
   
 3. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Wafu wazikane!
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  Mukama anataka sumaye naye athibitishe kwanini Dr. Slaa haamini kupeleka malalamiko kwa magamba.kweli ni mwaka wa shetani kwa CCM.
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  sasa wanabariki kitendo cha kuwalipia wanachama wafu michango, wakidhani watawablack mail.Ni kitendo kingine cha kuhalalisha uovu.
   
Loading...