CCM walipitisha sheria ya madini na gesi kwa hati ya dharura

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
CCM walipitisha sheria ya madini na gesi kwa hati ya dharura, lakini leo CCM wanalalamika wameibiwa sana. CCM hao hao mwaka jana walipitisha bajeti mbovu na feki, leo hii wanalamika.

CCM waliweka kodi ya VAT kwenye utalii na kwenye mizigo inayosafirishwa kwenda nje lakini leo CCM wanalalamika tena mizigo bandarini imepungua sana wakiongozwa na Ndugai.

Jana CCM wamerudia makosa yalele ya kuvunja sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki, badae watakuja kulalamika tena wenyewe.
 
Wana GB chache
ce7b3d436dd0afd4747162ff0e8a2d3a.jpg
 
Back
Top Bottom