CCM walipitisha kikotoo kumbe wanajua hawajapeleka 3.74bln. Ufisadi CCM hautaisha

Kudo

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
1,809
6,081
Nimewaza tu zile kura za ndio wakati wanapitisha sheria ya kikotoo, nimekumbuka yule mwenyekiti wa vijana alivyoita waandishi na kujifanya anajua sana kueleza.

Nawaza tu katibu mwenezi na katibu mkuu wanalipi hapa la kutufanya tusapoti juhudi zao za kuita wengine mafisadi na wahujumu uchumi ikiwa chama chao kinahujumu uchumi?

Najiuliza tu huyu mtetezi wa wanyonge ndie mwenyekiti, kwanini wanyonge hawajaingiziwa stahiki zao?

Mataga; Naona wapo humu wanajaribu kutusahaulisha ufisadi wao kwa gari la Chadema huku wajikisahaulisha makusudi na bilioni za watu.

Watu hawapati mafao yao kumbe kuna chama kimekalia mabilioni.

Aisee!! Kama vyama vinafanya haya mi binafsi mwakani sitahangaika kupanga foleni kupiga kura.
Bora huo muda nitulie kuangalia mieleka nicheke peke yangu
 
Mwizi huwa akikosa pa kuiba huiba chupi ya mkewe, hao ndio zao
 
Kwa kweli CCM mmenihudhunisha sana.

Pamoja na ukaguzi kabambe uliofanywa na Dr Bashiru kabla hajawa Katibu mkuu wa chama bado madudu yale yale yanaendelea?
CCM ni chama kikubwa chenye miradi chungu nzima na ruzuku inayokaribia sh 1 bil kila mwezi kinapaswa kuwa chama cha mfano.
CCM wanapaswa kuwalipa mishahara mizuri wafanyakazi wake na kuhakikisha inawaandalia maisha mazuri baada ya kustaafu.

Hili la Chadema halijanishangaza kabisa kwani inawezekana kabisa huyo mwanachama waliyempa Nissan Patrol alikuwa anawadai.
Chadema wana hiyo desturi ya kukopakopa kwa mwanachama fulani ambaye ni mwandamizi pale Ufipa.

But yote kwa yote vyama hivi viwili vimetia aibu, hongera Prof Lipumba japo bado naendelea kuisoma ripoti sijafika mwisho.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kamwe huwezi kuitenga ccm na ufisadi!
sijui Bashiru ataificha wapi sura yake maana Jamaa akiongea unaweza sema ccm haina DOA!
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Nimewaza tu zile kura za ndio wakati wanapitisha sheria ya kikotoo, nimekumbuka yule mwenyekiti wa vijana alivyoita waandishi na kujifanya anajua sana kueleza.

Nawaza tu katibu mwenezi na katibu mkuu wanalipi hapa la kutufanya tusapoti juhudi zao za kuita wengine mafisadi na wahujumu uchumi ikiwa chama chao kinahujumu uchumi?

Najiuliza tu huyu mtetezi wa wanyonge ndie mwenyekiti, kwanini wanyonge hawajaingiziwa stahiki zao?

Mataga; Naona wapo humu wanajaribu kutusahaulisha ufisadi wao kwa gari la Chadema huku wajikisahaulisha makusudi na bilioni za watu.

Watu hawapati mafao yao kumbe kuna chama kimekalia mabilioni.

Aisee!! Kama vyama vinafanya haya mi binafsi mwakani sitahangaika kupanga foleni kupiga kura.
Bora huo muda nitulie kuangalia mieleka nicheke peke yangu
CCM INA laana tangu kuanzishwa kwake, nimecheka walivyopitisha kikokotoo wakati wakijua michango yao ya mabiliobi haijapelekwa uko.

Na ndugai kwa laana yake aloirithi ktk ushirikina was familia yake anakataa kushirikiana na CAG ili ripoti hii isiwafikie watanzania, shame on you ndugai na ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo najua kuna vikao vingi sanah vinafanyika Lumumba ili waje na hoja za kumpinga CAG, kama walivojikingia kifua kwenye ile trioni 1.5.

Kesho lazima Polepole atafanya press conference Kulitetea tumbo lake.

MIMI
 
Mwenyekiti wa ccm akamatwe na kuswekwa ndani akanyee debe lazima apelekwe lockup
 
Nimewaza tu zile kura za ndio wakati wanapitisha sheria ya kikotoo, nimekumbuka yule mwenyekiti wa vijana alivyoita waandishi na kujifanya anajua sana kueleza.

Nawaza tu katibu mwenezi na katibu mkuu wanalipi hapa la kutufanya tusapoti juhudi zao za kuita wengine mafisadi na wahujumu uchumi ikiwa chama chao kinahujumu uchumi?

Najiuliza tu huyu mtetezi wa wanyonge ndie mwenyekiti, kwanini wanyonge hawajaingiziwa stahiki zao?

Mataga; Naona wapo humu wanajaribu kutusahaulisha ufisadi wao kwa gari la Chadema huku wajikisahaulisha makusudi na bilioni za watu.

Watu hawapati mafao yao kumbe kuna chama kimekalia mabilioni.

Aisee!! Kama vyama vinafanya haya mi binafsi mwakani sitahangaika kupanga foleni kupiga kura.
Bora huo muda nitulie kuangalia mieleka nicheke peke yangu
KAMA INGEKUWA NCHI NYINGINE WANGEBURUZWA MAHAKAMANI
 
Back
Top Bottom