CCM Walilipa Bei Gani Kupata Paragraph Kwenye Hotuba Ya OBAMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Walilipa Bei Gani Kupata Paragraph Kwenye Hotuba Ya OBAMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Sep 30, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  "The United States will focus our development efforts on countries like Tanzania that promote good governance and democracy; the rule of law and equal administration of justice; transparent institutions with strong civil societies; and respect for human rights." (blah - blah - blah.......)

  Jamani mimi nina mashaka na hii paragraph kwenye hotuba ya huyu Bwana Mkubwa (Obama). Hakuna kitu kinachoitwa Rule of Law katika serikali ya Kikwete.

  Nchi hii kuna utawala wa sheria? Upi? Kuna mifano?

  (Sina ushahidi). Mimi nina amini CCM walishinda zabuni ya kuingiza paragraph kwenye hotuba ya Obama. Watuambie tu walilipa bei gani?

  Aliyoyasema Obama bora angeyasema juu ya Ghana, Namibia, Botswana au nchi nyingine yoyote, lakini siyo Tanzania ya Kikwete.

  Mafisadi wapo mitaani na rais anathubutu hata kuwasifia na uso wa mpauko bila haya.

  Hapana.

   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Kwani hotuba ya Rais wa Marekani UNO inaandaliwaje? Nadhani Obama naye ana matatizo. Africa nzima governance imeimarika kwa 2% kutoka mwaka 2005 mpaka 2009 (Economic Commission for Africa). Tanzania kwa corruption ilikuwa ya 88 mwaka 2005 na mwaka 2009 ni ya 102 (Transparency International). Hivi Obama aliyapitia haya?

  Hii ni namna ya kumpumbaza mtu ili upate unachokitaka! Bush alimwambia Kikwete hawatoi hela ili ziibiwe, yeye akamwakikishia kuwa za wafadhili haziibiwi. Maanake wanaiba za kodi, sasa huu tu utawala bora? Kwanza Obama alikiri mwenyewe kuwa aliwahi kuvuta/ kula madawa ya kulevya, yawezekana adhari zake bado anazo mpaka leo, pili je, kweli aliacha?
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  bangi si wajua yakaaa 7 years,wamarekani wanatetea maslahi ya nchi yaooooo, wano wana ...NATIONAL INTERST ambayo iko wazi kwa wamarekani wote iwe ni Republican au Democreatic, sisi hapa hatuna, National interest wanaijua UWT tu ambao mimi nawaona kama wana fanya kazi za usalama wa CCM kushinda na iendelee kutawala for life, Economic au Diplomatic interigency ndio yenye tija kwa nchi zote duniani si kungangania madarakaniiii
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Ukiona Marekani anakusifia ujue amekutongoza na ukakubali au anataka kukutongoza but nadhani kwa haya ya Kigamboni tumekubali!
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Fungua macho.... ni URANIUM mkuu. Everything is set at Mbeya and songea. US ni zaidi uijuavyo.
  Wako kibiashara zaidi....ala.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yeah, ukiona hivyo ujue ndio wapo mbioni kutuvua chup*.
   
 7. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  US hawasifii kitu bure...
  Washajua viongozi wa Africa wakisifiwa na "mabwana wakubwa' wamemaliza..
  Sio bure kuna kitu wametega hapa TZ..!
   
 8. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Akishinda atatuuza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  zuia hili
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hii. lakini ni lazima mwelewe kuwa dhahabu yetu yote inaishia marekani na canada. Inawezekana hata Obama ameahidiwa mgodi au alilazimishwa na CIA & pentagon -ili wauziwe kigamboni kiulaini, wachimba dhahabu zetu e.t.c.
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Wa ahidi kuwa KIGAMBONI na URANIUM huko NAMTUMBO.
   
 11. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamuulize Mbowe alitoa kiasi gani kupewa mualiko wa kuhudhuria mkutano wa Republicans Marekani. Ukishajua kiasi alichotoa Mbowe basi bei itakuwa hiyo hiyo kwani hawa Wamarekani wana policy ya FIXED PRICE. :tonguez:
   
 12. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,066
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  as usual Museveni alishawahi pata kashfa ya kuhonga political strategists/lobbist for good coverage! Naona Tanzania nao wanafanya huu upuuzi
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2014
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280


  Punguza ghadhab, pata burdani kidogo:

  [video=youtube_share;b42zyaiRspw]http://youtu.be/b42zyaiRspw[/video]

   
 14. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2014
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ni srea inayoeleweka kabisa kuwa Marekani haina adui wala rafiki wa kudumu ila ina maslahi ya kudumu, inasifia kwa vile ina maslahi ya kudumu Tanzania
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2014
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  There is a danger of taking diplomatic niceties too far.

  Umeenda kwa jirani, umekaribishwa vitumbua, unauliza nichukue vingapi, wastaarabu wanakwambia "chukua vyovyote vile unavyotaka" unachukua sahani zima.

  Things and speeches must be taken in context.

  Obama anatetea interests za US, wamarekani waweze kufanya biashara (na kutunyonya vizuri) lazima atapalilia uhusiano mzuri na Kikwete. Hapo anatoa maneno ya mtongozaji tu, na kama kawaida, maneno ya mtongozaji hayakosi chumvi.

  Kuna ma trade issues, ma geopolitics, security issues, kuns ma rare earth minerals uranium scramble na Wachina/ terror networks. Kuna regional influence peddling. Kuna relative truth ambayo itamfanya Kikwete aonekane anafuata rule of law ukimlinganisha na Idi Amin au Mobutu. Obama anaweza kusema ukimlinganisha na Reagan aliyekuwa rafiki wa Mobutu yeye Obama anafanya much better in a progressing, if gradual, convergence towards complete rule of law, ambayo hata Marekani kwenyewe haipo by the way.

  Sasa wengine watataka maneno haya ya mtongozaji yachukuliwe seriously.
   
Loading...