CCM walijua kuhusu mpango wa wabunge wa CHADEMA....

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Kuna tetesi mtaani kuwa kuna baadhi ya watu ccm walikuwa wanajua kuhusu mpango wa wabunge wa Chadema kutoka bungeni ila wa kakausha ili jamii na Tanzania kwa ujumla iweze kuona ukomavu wa kidemokrasia na pia inasemekana ni kundi la wale waliokuwa wanapinga mafisadi na kutaka mabadiliko katika serikali ya Jk.....ndiyo maana hawakushangaa kufuatia tukio lile na walilisifu kuwa ni demokrasia...je ni kweli wana jamii?
 
diyo maana CUF na NCCR wakawa wamepangwa ili CHADEMA wakitoka wenyewe wakalie viti vyao kama vile wamepata. na mipango hiyo ilikuwa ni ya haraka wakadhani kuwa hata serikali kivuli itakuwa ni yao baada ya CDM kutoka nje!
 
Hii habari siyo "relevant" tena kwa sasa. Tafuta ya leo

Kwani ndugu yangu nani kasema iko relevant leo...ni swali tu hilo ilikujua kama je ni kweli hicho kitu kilitokea...vipi unasomaga vichwa vya magazeti tu ehh...samahani ndugu....
 
Kwani ndugu yangu nani kasema iko relevant leo...ni swali tu hilo ilikujua kama je ni kweli hicho kitu kilitokea...vipi unasomaga vichwa vya magazeti tu ehh...samahani ndugu....

Ilijadiliwa kabla hata Waziri Mkuu hajateuliwa, labda wewe ulikuwa hufuatilii mijadala humu JF
 
Ilijadiliwa kabla hata Waziri Mkuu hajateuliwa, labda wewe ulikuwa hufuatilii mijadala humu JF

ohh ni vizuri sana na for the record nilikuwa nafuatilia sana mijadala na niliiona lakini wengi wali anticipate kama conspiracy na siyo kitu ambacho kitatokea na kwa sababu kimetokea we have to talk about it....we cant sit down popin our legs saying 'tulishaiongelea' wakati ni kitu kinachohitaji upembuzi zaidi...thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom