Mpelijr
Member
- May 17, 2010
- 89
- 11
Kuna tetesi mtaani kuwa kuna baadhi ya watu ccm walikuwa wanajua kuhusu mpango wa wabunge wa Chadema kutoka bungeni ila wa kakausha ili jamii na Tanzania kwa ujumla iweze kuona ukomavu wa kidemokrasia na pia inasemekana ni kundi la wale waliokuwa wanapinga mafisadi na kutaka mabadiliko katika serikali ya Jk.....ndiyo maana hawakushangaa kufuatia tukio lile na walilisifu kuwa ni demokrasia...je ni kweli wana jamii?