CCM wakishindwa chaguzi hii kutukabidhi mali walizotupora ndani ya miezi sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wakishindwa chaguzi hii kutukabidhi mali walizotupora ndani ya miezi sita

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 8, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,076
  Trophy Points: 280
  Habari zilizonifikia hivi punde zinalonga ya kuwa wataalamu ndani ya Chadema wanaendelea kukusanya takwimu za mali ambazo CCM imelipora taifa hili masikini na chama hicho kongwe kuutumia mali dhalimu tajwa kama mtaji wa kuvifunika vyama vinginevyo vya siasa.


  Baadhi ya mali ambazo zinazungumzwa kwa uchungu sana ni pamoja na fedha taslimu, majengo, miradi, viwanja vya mpira n.k

  Haya yatakapofanyika usishangae kumsikia JK, Mkapa na Mzee Ruksha wamehamia Chadema wakitegemea kuna ulaji huko.


  Yale yaliyowakuta Kanu huko Kenya wakajikuta hata KICC wamenyang'anywa sasa kukisibu CCM miezi sita tu baada ya Bunge kuupitisha muswada utakaoletwa bungeni na Waziri mtarajiwa wa Sheria na mambo ya kikatiba Bw. Lissu ambaye ushindi wa jimbo lake la uchaguzi sasa ni "foregone conclusion" yaani hakuna utata tena.........
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Actually ndio maana tunataka kuchukua nchi!
  Hizi fedha za kampeni ni za wananchi wote, wala si za CCM ni uongo wa mchana kweupe!
  Wakae wakijua kuwa kuanzia 1/11/2010 hawana kitu...tutaanza pamoja 'square one'
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wasisahau viwanja vya mpira kama sokoine mbeya na smaora iringa
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  viwanja vyenyewe wanashindwa kuviendesha! Waondoke hawa!
   
 5. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Na UNIP ya Zambia
   
 6. M

  Mtuwamungu Senior Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Na baadhi ya shule za wazazi ambazo awali zilikuwa shule za Serikali.
   
Loading...