CCM Wakiandamana Kupinga, Chadema Wataruhusiwa Kuunga Mkono????

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Siamini Itakuwaje kama kweli CCM dar wakiruhusiwa kuandamana kupinga wabunge wa Chadema kutoka bungeni, je Chadema wakitaka kuandamana kuunga mkono wabunge wao wataruhusiwa???

Natamani sana itokee ili tuone nguvu ya umma ipi itakuwa zaidi!
 
ccm walishashtukia kwamba watachemsha: remember: action and reaction are equal and opposite!
 
11_10_u4hvjp.jpg
 
Back
Top Bottom