Elections 2010 CCM WAJIPANGA Kumwokoa JK

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
SIKU moja baada ya Chadema kutangaza nia ya kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, chama hicho tawala kimesema kuwa kinajipanga kumwokoa mgombea wake dhidi ya hoja za kutaka mgombea huyo aondolewe mapema.

Juzi, Chadema ilitangaza nia ya kuwasilisha pingamizi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwamba ilitaka jana kumwekea pingamizi Kikwete kwa kuwa amekiuka sheria ya gharama za uchaguzi kwa kutangaza nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa sekta ya umma kwenye mikutano ya kampeni.

Kikwete alishaeleza mapema kuwa serikali haiwezi kutekeleza mapendekezo ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) la kutaka kima cha chini cha wafanyakazi wa sekta ya umma kuwa Sh315,000 na hata shirikisho hilo liliposhusha madaio yake hadi Sh260,000, serikali ilisema haina uwezo huo.

Kwa mujibu wa Dk Slaa mgombea urais anapaswa kulinda katiba na sheria zilizopo, ili kulifanya taifa liendelee kuwa katika hali ya amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Dk Slaa alisema kuwa kitendo cha rais kutumia nafasi hiyo kutangaza mishahara kwenye kampeni ni kujipa upendeleo kwa kushawishi watu kumpigia kura kwa kutumia nafasi aliyonayo.

SOurce: Mwananchi

Comments from Mwananchi viewers
http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/4217-ccm-wajipanga-kumwokoa-jk#
[quote name="Mwalimu"]Sisi hatutaki uzuri wa sura wala tabasam la ma-miss majukwaani TUNATAKA MAENDELEO YA KWELI NA SIO MAENDELEO YA UFUKUNYUKU.Yeyote anaye mshabikia Kikwete na CCM anamatatizo ya AKILI nani MMNAAFIKI MKUBWA.CCM ndo chanzo cha umasikini wa kutupwa Tanzania.Eti nimeongeza mishahara hiyo elfu 50 ndo inakubwatisha majukwaani ebu tuache ndugu nenda kawaambie wale wauza kahawa,mafundi viatu na mama ntilie ulowaita wazee wa dsm-wasiojua dunia iko wapi kazi kupiga makofi,vigelege le na kushangilia utadhani misukule au mandondocha.Dr Slaa ndie ana elimu ya kweli.[/quote]

[quote name="Joel Kimbisa"]Waliotuharibia uchaguzi wa 2005 ni wanawake. Tulipowauliza kwa nini mnampigia debe Kikwete, wakasema eti "analipa" kwa sababu ya sura yake ya kike. Na kweli tumelipwa! Tulidhani tunapanda na kuvuna ulezi lakini sasa tunavuna mbigiri. Maisha ni machungu kwa kwenda mbele! Wanawake safari hii mpeni kura rais mwanamme! Huyu mwanamke mwenzenu anachekacheka mno. Hana mang'amuzi, mnastahili kuwa naye vijiweni kwenye umbea na si IKULU.[/quote]

[quote name="hamisi"]alichokisema kinana ni uzumbukuku wa kutojua sheria, sheria iko wazi uwezi kuongeza mishahara wakati wa kukaribia au wakati wa kampeni kwa sababu ya kuonekana kama unatumia mishahara kama kishawishi(rushwa) cha watu kukupigia kura. na hata kama ilikuwepo ktk ilani ya ccm kama alivyosema katibu mwenezi wa ccm bado pia ni uvunjifu wa sheria kwa sababu sheria ya nchi ndiyo muongozo na siyo ilani ya ccm na hata rais anaapishwa kulinda katiba(sheria) ya nchi na siyo ilani ya ccm kwahiyo hata kama ilani ya uchaguzi inasema inabidi hiyo ilani isipingane na sheria ya nchi.
anachokisema kinana ni kwamba ni sawa kuwapa watu hivi sasa lakini si sahihi kuwaaidi watu pesa baada ya uchaguzi. ukiiangalia sheria imebana maeneo yote kabla na baada ya uchaguzi kwahiyo kinana anatafsiri sheria kwa ushabiki wa kisiasa kitu ambacho huenda msajili wa vyama akafanya hivyo hivyo kwa maana anafuata maelekezo ya waliomteua.[/quote]

[quote name="Malisa Samson"]CCM kukaa pembeni si dhambi! na Mpinzani kutupa ndoana yake pia kwa Tanzania si dhambi.Kitakachoonekana sasa ni aibu kwa CCM maana watanzania sasa tupo huru na tumefunguka kiakili zaidi.Hata mtoto mdogo kumdanganya miaka hii inabidi uwe makini sana.Sasa Tanzania tunaona na tunataka WHAT WE CALL CHANGES.and we must believe that in Tanzania TOGETHER WE CAN.Chadema kina jipya na tunaliona.Let us DO. Wapinzani nje ya chandema tamaa nyingi na kuuza majina.Hilo ndilo tatizo la kwetu waafrica.Kwa pamoja kama tungekuwa kwenye mtizamo wa umoja katika CHADEMA mbona dunia ingeona Siasa ya Tanzania kwa heshima ya ajabu?? Mimi nimechoka na Jina a Lipumba..Is shame now.why????? Mrema yupo Vunjo, Mbowe yupo Hai,Cheyo naye usu[NENO BAYA]ni,Sababu wameshachujaaaa...Sasa why CUF??? hapa ndipo panapowekewa hisia hiki chama kina siri.Lipumba kuwatumikia watanzania si lazima ikulu.20YEARS unautaka uraisi??? wadhamini wenu hawawashauriii??? Hebu fikirieni mara nyingi nyingi. Mimi nawaombeeni kwa Mungu wanasiasa wa Tanzania muwe na umoja kama ndugu.Na zaidi DR SLAA UJUE UPO JUU NA WATANZANIA KWA CCM SASAAA " ATUDANGANYIKIIIIIIIIII" Kila anayesoma maoni haya na awe na sababu ya kujua ni kwa nini waanzania wengi sasa wanataka mabadiliko.
kesi za EPA kuwa mahakamani si sababu ya utawala makini.Tunataka watu wafungwe na miaka mingi na pengine wafilisiwe na hapo ndipom tutaamini utawala makini.Wewe kesi kama sipo mahakamani na watuhumiwa wapo majinboni hili haliingii kwa Akili kabisa.Ni upungwani kujigamba kwa hilo.JAMANI NINA UCHUNGU SANA...................................[/quote]

[quote name="mbaluku"]Jamani jamani mimi kama nikimkuta mke wangu kavalia flana au kofia ya ccm ninamuozesha hukohuko. kusema kweli maoni ya wasomaji wanayotoa inaonyesha kwamba wanauchungu sana mabadiliko ya nchi yetu dk slaa zidi kutufumbua macho. naamini kama ccm wangekuwa wanasoma maoni ya watanzania wasingeendelea kujinadi kwa sasa watanzania hatudanganyikiiiiiiiiii!!!!!!! kama kuonyesha meno jukwaanii hayo ni yakwake na mke wake. Nimeamini sio kila king'acho ni dhahabu nje safi ndani Ufisadi. Mwaka huu adanganyiki mtu hapa[/quote]

[quote name="K. Mbwembwe"]Jamani wacheni jazba. Mnakuwa kama vile mtu kanyang'anywa mke. Mwenye macho haambiwi ona. Jk kafanya mengi mema wacheni dhambi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.[/quote]

[quote name="Joel Kimbisa"]Ni masikitiko makubwa kwamba Profesa na elimu yake anashindwa kusoma alama za nyakati. Hana upinzani wa kweli na huenda huyu ni pandikizi tu la CCM. Amekwishashindwa mara tatu. Nini kinamuaminisha kuwa safari hii atashinda? Huyu ni mtu hatari, a[NENO BAYA]sesha upinzani ushindi. Sasa kwa mfano, huenda matokeo ya kura yakawa hivi: Kikwete 42%; Dr Slaa 41%; Lipumba 14% na Mtamwega 3%. JE KWA MATOKEO HAYO, LIPUMBA ATASHANGILIA? Lipumba unatutia kichefuchefu! Ni vema ukajua kwamba huna mvuto tena kwa watanzania kwa sasa![/quote]
 
SIKU moja baada ya Chadema kutangaza nia ya kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, chama hicho tawala kimesema kuwa kinajipanga kumwokoa mgombea wake dhidi ya hoja za kutaka mgombea huyo aondolewe mapema.

Juzi, Chadema ilitangaza nia ya kuwasilisha pingamizi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na kwamba ilitaka jana kumwekea pingamizi Kikwete kwa kuwa amekiuka sheria ya gharama za uchaguzi kwa kutangaza nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa sekta ya umma kwenye mikutano ya kampeni.

Kikwete alishaeleza mapema kuwa serikali haiwezi kutekeleza mapendekezo ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) la kutaka kima cha chini cha wafanyakazi wa sekta ya umma kuwa Sh315,000 na hata shirikisho hilo liliposhusha madaio yake hadi Sh260,000, serikali ilisema haina uwezo huo.

Kwa mujibu wa Dk Slaa mgombea urais anapaswa kulinda katiba na sheria zilizopo, ili kulifanya taifa liendelee kuwa katika hali ya amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Dk Slaa alisema kuwa kitendo cha rais kutumia nafasi hiyo kutangaza mishahara kwenye kampeni ni kujipa upendeleo kwa kushawishi watu kumpigia kura kwa kutumia nafasi aliyonayo.

SOurce: Mwananchi

Comments from Mwananchi viewers

[quote name="Mwalimu"]Sisi hatutaki uzuri wa sura wala tabasam la ma-miss majukwaani TUNATAKA MAENDELEO YA KWELI NA SIO MAENDELEO YA UFUKUNYUKU.Yeyote anaye mshabikia Kikwete na CCM anamatatizo ya AKILI nani MMNAAFIKI MKUBWA.CCM ndo chanzo cha umasikini wa kutupwa Tanzania.Eti nimeongeza mishahara hiyo elfu 50 ndo inakubwatisha majukwaani ebu tuache ndugu nenda kawaambie wale wauza kahawa,mafundi viatu na mama ntilie ulowaita wazee wa dsm-wasiojua dunia iko wapi kazi kupiga makofi,vigelege le na kushangilia utadhani misukule au mandondocha.Dr Slaa ndie ana elimu ya kweli.

[quote name="Joel Kimbisa"]Waliotuharibia uchaguzi wa 2005 ni wanawake. Tulipowauliza kwa nini mnampigia debe Kikwete, wakasema eti "analipa" kwa sababu ya sura yake ya kike. Na kweli tumelipwa! Tulidhani tunapanda na kuvuna ulezi lakini sasa tunavuna mbigiri. Maisha ni machungu kwa kwenda mbele! Wanawake safari hii mpeni kura rais mwanamme! Huyu mwanamke mwenzenu anachekacheka mno. Hana mang'amuzi, mnastahili kuwa naye vijiweni kwenye umbea na si IKULU.[/quote]

[quote name="hamisi"]alichokisema kinana ni uzumbukuku wa kutojua sheria, sheria iko wazi uwezi kuongeza mishahara wakati wa kukaribia au wakati wa kampeni kwa sababu ya kuonekana kama unatumia mishahara kama kishawishi(rushwa) cha watu kukupigia kura. na hata kama ilikuwepo ktk ilani ya ccm kama alivyosema katibu mwenezi wa ccm bado pia ni uvunjifu wa sheria kwa sababu sheria ya nchi ndiyo muongozo na siyo ilani ya ccm na hata rais anaapishwa kulinda katiba(sheria) ya nchi na siyo ilani ya ccm kwahiyo hata kama ilani ya uchaguzi inasema inabidi hiyo ilani isipingane na sheria ya nchi.
anachokisema kinana ni kwamba ni sawa kuwapa watu hivi sasa lakini si sahihi kuwaaidi watu pesa baada ya uchaguzi. ukiiangalia sheria imebana maeneo yote kabla na baada ya uchaguzi kwahiyo kinana anatafsiri sheria kwa ushabiki wa kisiasa kitu ambacho huenda msajili wa vyama akafanya hivyo hivyo kwa maana anafuata maelekezo ya waliomteua.[/quote]

[quote name="Malisa Samson"]CCM kukaa pembeni si dhambi! na Mpinzani kutupa ndoana yake pia kwa Tanzania si dhambi.Kitakachoonekana sasa ni aibu kwa CCM maana watanzania sasa tupo huru na tumefunguka kiakili zaidi.Hata mtoto mdogo kumdanganya miaka hii inabidi uwe makini sana.Sasa Tanzania tunaona na tunataka WHAT WE CALL CHANGES.and we must believe that in Tanzania TOGETHER WE CAN.Chadema kina jipya na tunaliona.Let us DO. Wapinzani nje ya chandema tamaa nyingi na kuuza majina.Hilo ndilo tatizo la kwetu waafrica.Kwa pamoja kama tungekuwa kwenye mtizamo wa umoja katika CHADEMA mbona dunia ingeona Siasa ya Tanzania kwa heshima ya ajabu?? Mimi nimechoka na Jina a Lipumba..Is shame now.why????? Mrema yupo Vunjo, Mbowe yupo Hai,Cheyo naye usu[NENO BAYA]ni,Sababu wameshachujaaaa...Sasa why CUF??? hapa ndipo panapowekewa hisia hiki chama kina siri.Lipumba kuwatumikia watanzania si lazima ikulu.20YEARS unautaka uraisi??? wadhamini wenu hawawashauriii??? Hebu fikirieni mara nyingi nyingi. Mimi nawaombeeni kwa Mungu wanasiasa wa Tanzania muwe na umoja kama ndugu.Na zaidi DR SLAA UJUE UPO JUU NA WATANZANIA KWA CCM SASAAA " ATUDANGANYIKIIIIIIIIII" Kila anayesoma maoni haya na awe na sababu ya kujua ni kwa nini waanzania wengi sasa wanataka mabadiliko.
kesi za EPA kuwa mahakamani si sababu ya utawala makini.Tunataka watu wafungwe na miaka mingi na pengine wafilisiwe na hapo ndipom tutaamini utawala makini.Wewe kesi kama sipo mahakamani na watuhumiwa wapo majinboni hili haliingii kwa Akili kabisa.Ni upungwani kujigamba kwa hilo.JAMANI NINA UCHUNGU SANA...................................[/quote]

[quote name="mbaluku"]Jamani jamani mimi kama nikimkuta mke wangu kavalia flana au kofia ya ccm ninamuozesha hukohuko. kusema kweli maoni ya wasomaji wanayotoa inaonyesha kwamba wanauchungu sana mabadiliko ya nchi yetu dk slaa zidi kutufumbua macho. naamini kama ccm wangekuwa wanasoma maoni ya watanzania wasingeendelea kujinadi kwa sasa watanzania hatudanganyikiiiiiiiiii!!!!!!! kama kuonyesha meno jukwaanii hayo ni yakwake na mke wake. Nimeamini sio kila king'acho ni dhahabu nje safi ndani Ufisadi. Mwaka huu adanganyiki mtu hapa[/quote]

[quote name="K. Mbwembwe"]Jamani wacheni jazba. Mnakuwa kama vile mtu kanyang'anywa mke. Mwenye macho haambiwi ona. Jk kafanya mengi mema wacheni dhambi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.[/quote]

[quote name="Joel Kimbisa"]Ni masikitiko makubwa kwamba Profesa na elimu yake anashindwa kusoma alama za nyakati. Hana upinzani wa kweli na huenda huyu ni pandikizi tu la CCM. Amekwishashindwa mara tatu. Nini kinamuaminisha kuwa safari hii atashinda? Huyu ni mtu hatari, a[NENO BAYA]sesha upinzani ushindi. Sasa kwa mfano, huenda matokeo ya kura yakawa hivi: Kikwete 42%; Dr Slaa 41%; Lipumba 14% na Mtamwega 3%. JE KWA MATOKEO HAYO, LIPUMBA ATASHANGILIA? Lipumba unatutia kichefuchefu! Ni vema ukajua kwamba huna mvuto tena kwa watanzania kwa sasa![/quote][/QUOTE]
Nafikiri mambo yanavyozidi kuanikwa ndivyo hasira inavyozidi kuongezeka dhidi ya ccm na mgombea wake!
 
"Hata kama malaika kutoka mbinguni, hataweza kutokomeza ufisadi ndani ya ccm" by Dr. Slaa!
can u imagine that, it means, ufisadi unaweza kutokomezwa nje ya ccm, na si vingenevyo! Ni mpaka pale ccm itakapopigwa benchi ili ipate feelings ya kuwa upande wa pili wa shilingi(upinzani0, ili iangalie wengine nao waje na different approach ya kutatua matatizo ya wa-tz! Of now, ccm haina jipya, there is no room for improvement! keki ilishagawanwa, na hakuna hata mmoja aliye tayari kuiachia ili iweze ku-'accommodate new insights on how to move Tz 4 better!
 
Nimependa approach ya Dr. Slaa kwenye kampeni zake. Kwa kweli ilani ya Chadema inatoa sera mbadala ya CCM. Watu makini watahitaji mabadiliko lakini watu wale wale waliodumazwa kwa sera dumafu za kuogofya, kuhofisha, na za njaa kali ni vigum kutambua haya au kufanya mabadiliko ya kweli.
Lakini Watanzania wataongea, tuwape muda!
 
Hero
The Following User Says Thank You to Hero For This Useful Post:

Msanii (Today)

Ila hiyo avatar yako mhhhhh!
 
Duuuu.........kwa hila za sisiemu(ccm) wanaweza kumuokoa kwani watu hawasomi alama za nyakati....watz wengi bado hawanauwezo wa kujiuamulia mambo yao wenyewe..
0-watz wamepumbazwa na pilau,pombe za kienyeji, kofia na ulanzi wa ccm
 
Mungu tunakuomba utuone kwa jicho lako la huruma, utuondolee hii ccm, amen
 
Back
Top Bottom