CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

Wanatumia mbinu za wale wachungaji wanaojidai kuponesha vilema, kila mkutano vilema wanatupa magongo lakini vilema tuwajuao wote hatumuoni hata mmoja akipona.

Janja sana hii chungaji.

Utakoma umbeya na njaa kali yako, kesho chopa itaruka kuwaelekeza wananchi jangwani kwenye mkutano. Mtameza pana uchungu wake.
 
habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa chadema wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za ccm wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-ccm ambao wataikana ccm hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaccm wanaoikana ccm. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

ccm mnajulikan kwamba ni wambeya, kama mlivyodanganya ari mpya kasi mpya maisha bora kwa watanzania. Lakini maisha bora ni kwa mafisadi, je kule arusha milya nae alivalishwa tshirt? Na wale madiwani mwanza nao vipi. Watz wamewachoka
 
Wanatumia mbinu za wale wachungaji wanaojidai kuponesha vilema, kila mkutano vilema wanatupa magongo lakini vilema tuwajuao wote hatumuoni hata mmoja akipona.

Janja sana hii chungaji.
Au Kama wale mashehe wanaokuja na kichane cha ndizi kwenye hitma kwaajili ya kutafunia pilau
 
Siku zote mimi huwa nakuwa fair. Tatizo CDM huwa hampendi kukosolewa.

Huna fair ye yote bali njaa tu yakusumbua, ngumi zimekuzidia unadekadeka nini? Acha kujilegeza jikaze na njoo uwekwe sawa.
 
Atuwezi changia upuuzi humu yeye kilicho muuma nini!Chadema atuwezi fanya upuuzi unao fanywa na Ccm.Nape kakojoe ulale.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Uzushi mwingine!!! Hauhitaji hata chembe ya elimu ili kuweza kuubaini. Kama huu uliotolewa kwenye thread hii ni mfano hai.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Very pathetic and that's why you are reporting collevtively. Unaposema HABARI ZILIZOTUFIKIA...zilizowafikia WEWE NA NANI?

Kwa hizi akili za ki-Wassira wassira unadhani ndio utazuia ukweli wa kesho? Why don't you do the same if you think that is a move? Hamtathubutu kwa kuwa hata hao vijana wa kuwahonga watawakataa nyinyi na hela zenu kwa jinsi mnavyonuka. Pole sana ndugu mwenye akili za farasi, kwa kuwa Nape amekuswaga uelekee magharibi basi unakimbia bila hata kujiuliza kama ni salama.
 
MOD tafadhali naomba mruhusu maneno yenye kuudhi (matusi) kwa wapumbavu kama hawa wenye kuleta thread za kipumbavu. Hizi ni salam naomba msinipe BAN.najaribu kutoa hisia zangu
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!

sasa unataka kusubiri nini?? Au mnajipanga kuandika udaku mwingine kesho??
Mnajua kwa kesho lazima watu wa vue gwanda so nin cha ajabu hapo.
 
Hizo tshirt wangezionyesha hapa na huyo organizer wangempiga picha na kutuambia jina lake. CHADEMA naturally imeshakiweka CCM pabaya hiyo mikakati wangefanya Chama kingine na sii CHADEMA ambayo wote waliopevuka akili wanaikimbilia
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!

Mkuu ni kweli eti viongozi wawili waandamizi wa Magamba wapo Bagamoyo wakiwanga ili mvua kubwa inyeshe kesho darslamu?
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Subiri uone cjui utawakana hd viongozi sasa maana 2nategemea nao kesho wanavua gamba.
 
Huo ni mtindo na mbinu maarufu ambazo mmezitumia wana CCmagamba na sasa mnapoona joto likizidi kuwapanda mnaanza kuogopa vivuli vyenu wenyewe.
Ushahidi ni pale mwenyekiti wenu JK aliposema mnaogopana hata kuachiana glasi ya maji ikiwa wazi au uongo?
 
Hizo tshirt wangezionyesha hapa na huyo organizer wangempiga picha na kutuambia jina lake. CHADEMA naturally imeshakiweka CCM pabaya hiyo mikakati wangefanya Chama kingine na sii CHADEMA ambayo wote waliopevuka akili wanaikimbilia
ccm inavopenda sifa, labda sijui, si ajabu itasomeka kwny baadhi ya magazeti ya kesho.
 
Nape, kamon men!!!!!!!!!!!!!!

Ingawaje ni ukweli usiopingika jinsi gani CCM kumedorora sana tena sana lakini mambo ya KUJIAMI NA PROPAGANDA ZA KITOTO hivi kweli wenzetu mmefikia hadhi ya chini kiasi hiki???????

Back
Top Bottom