CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Kuna vyanzo vya kuaminika,
Naaimini wewe ni miongoni mwa vyanzo visivyoaminika humu jf.
Kwaiyo huna pointi.

Nimekata tiketi yangu ya championi kesho saa6 mchana nipo dsm kwaajili ya mkutano.

Viva m4c,viva cdm
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!
mkuu mambo mengine si mpaka usubiri..propaganda majitaka ni ujinga
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Mlisema Chadema ni ya kazikazini sasa imeingia Dar masaburi yana kuwasha na bado....
 
Mbona kama ni kukubalika cdm kinakubalika? Mtoa hoja labda useme kuna sababu zingine lakini kwenye mageuzi hakuna kujidanganya kama unavyotaka kutuaminisha, ndio maana wanaovua gamba na kuvaa gwanda ni wapenzi na viongozi wa ccm wanaojulikana kwa jamii na ukereketwa wao kwa chama unajulikana.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
you+ccm=GAMBA!!
 
Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya "vua gamba vaa gwandwa"

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

ZIMEKUFIKIA WEWE NA NANI?

Wewe huyo huyo polisi, wewe huyohuyo mahakama na wewe huyohuyo magereza.Wala siruubuniki na maneno yako. Ni nani asiyejua leo hii kwamba wanaohamia CDM ni kwa hiari yao wenyewe tena kwa makundi makundi. Wangetaka kutulaghia tena kwa jiji hili lenye mamia ya wananchi, isingekuwa kwa hiyo idadi ya 200 tu. Ni wananchama wangapi kwa kumbukumbu zako za hivi karibuni wamehamia Ccmmmm? Shame on u. Hata huyo mnayemuhoji naye yuko mbioni kutoka nduki kwani gamba linambana
 
Mtoa mada hujui kuwa kadi zitarudishwa ktk huo mkutano? Ama unataka zisirudiswhe.hueleweki.
 
Wanatumia mbinu za wale wachungaji wanaojidai kuponesha vilema, kila mkutano vilema wanatupa magongo lakini vilema tuwajuao wote hatumuoni hata mmoja akipona.

Janja sana hii chungaji.
 
nasubiri kuona watasema nini baada ya ile statement yao ya muda mrefu kuwa CDM ni watu wa kaskazini. Sasa kama DSM ni ya kaskazini kesho wataueleza umma
 
Inaonekana Nape ameishiwa kabisa mbinu za kuimarisha chama au labda alikuwa hana strategy zozote kama Makamba anavyosema, ningemshauri badala ya kukimbizana na CDM ange-concentrate kwenye kuimarisha mashina ambayo hayakufanya uchaguzi.

Media zinamponza Nape, wakati wa tukio la Nassari alisema sana mwisho limepita, likaja la Shibuda amesema hadi kachoka mwenyewe. Navyomuona anasumbuliwa sana na matukio ya CDM. CDM wao wanaendelea kujenga chama na kesho kutwa watakuwa Kusini haoni kwamba muda unayoyoma. Kama anasubiri CDM isambaratike kama alivyopiga ramli babu yao Wassira atasubiri sana.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!
Wachangiaji wengi wa hii mada,wengi wao wakiwa wapenzi wa CDM, wanaishia kukashifu tu na ku-wish kuwa hii ni habari ya kipuuzi.

Mtu mwenye akili ata question source na PROOF!
 
Mtaishia kusema wanarubuniwa...mpaka mtakapotoka pale Magogoni..badala ya kuweka mikakati mnatunga hadithi..
 
Its obvious vijana watarudisha kama walivofanya wenzao nchi nzima, kwa hiyo hakuna cha siri bali analysis inaonesha mambo yatakua hivo!
Mbona unaanza kuniaminisha mapema yaliyosemwa na mleta mada kabla ya kesho? Kumbuka huku ni DSM, siyo mikoani. Watu wengi huku hawana ushabiki, wanajua kuchambua mambo!
 
Tusubiri hiyo kesho, kitu kama hiki kikitokea then, tutarudi hapa kulijadili hili suala. Kwa sasa naona tukae kimya tu kusubiri!
Bwahi bwahi madengo ntima, hiyo sio hukumu .Lazima ijadiliwe leo,mwambie aloleta.
 
Back
Top Bottom