Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Habari wadau!
Ccm na hasa makada tumbo wanazunguka katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kupinga utafiti wa twaweza bila kuwa na utafiti mbadala hasa kipengere cha umaarufu wa rais kushuka toka 96% hadi 55% na kipengere cha kupendwa zaidi na wasio na elimu na wazee.
Ukisoma gazeti la habari leo wanapinga hilo na ukimsikiliza Msekwa nae anapinga cha ajabu anapingia mdomoni bila utafiti.
Huu unafiki utawaisha lini kumwona mtu kama malaika au mungu wao kuwa akiboronga wao ni kusifu tuuu?
Kwanini wanataka umaarufu usio sahihi na sifa zisizo zao?
Angeomekana anapendwa kwa 99% nao wangepinga kuwa ni ndogo??