Tetesi: CCM wagongana vichwa kuhakikisha BAVICHA hawaendi Dodoma

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Joto Limezidi kupanda kwenye chama cha Mapinduzi ccm kuhakikisha bavicha hawaendi dodoma kusaidiana na pilisi kuti sheria bila shuruti wamebuni mbinu ya kizamani kutuma message kwenye simu usemao Mbowe awanyima bavicha wasiende Dodoma wakati siyo kweli

Kwa taarifa nilizonazo mikoa yote Tanzania Bavicha wanajianda kwenda Dodoma

nitaendelea pindi taarifa za kupotosha mpango huo utakavyokua unaendelea huko Lumumba
 
Bavicha wanaakili kuliko kawaida. Walijua wakitangaza, ccm wataawadhibiti. Ninachokifahamu mimi ni kwamba mikoa iliyotangaza ni michache tu. Mingine inakwenda kimya kimya sana. Na habari zisizo rasmi ni kwamba hawataenda kama makundi kwa na wataondoka kila mtu kivyake kwa tarehe maalumu. Watakutana Dodoma na hata intelijensia ya ccm imehsindwa kutambua hawa vijana wanakwenda Dodoma kuzuia mkutano wao kwa njia gani hasa.

Ccm jmewafundisha vijana hawa kutumia mbinu za medani. Hata wakifunga milango sasa wanapitia dirishani, wakiziba madirisha, wataingilia darini, wakiziba dari WAtawakuta ndani ili mradi wako nao kila mahali hadi kieleweke. Uzuri BAVICHA ni watu wa amani. Siyo kama UvCCm.
 
tuko na mabasi kwa sisi wa A town na Mara na mabasi yameishalipiwa tutaondoka kama abiria bila kuvaa kitu chochote cha chama na mikakati yote imeiva.TUNAKWENDA KULISAIDIA JESHI LA POLICE KWA SHURUTINA CCM LAZIMA WATII KAULI YA RAISI KUWA HAKUNA MIKUTANO HADI 2020.

swissme
 
CCM na Polisi wachutama sakata la mikutano ya kisiasa baada ya Bavicha kurindima kwa kanuni za kisasa dhidi ya ukandamizaji wa demokrasia unaofanywa na serikali ya CCM.
 
Joto Limezidi kupanda kwenye chama cha Mapinduzi ccm kuhakikisha bavicha hawaendi dodoma kusaidiana na pilisi kuti sheria bila shuruti wamebuni mbinu ya kizamani kutuma message kwenye simu usemao Mbowe awanyima bavicha wasiende Dodoma wakati siyo kweli

Kwa taarifa nilizonazo mikoa yote Tanzania Bavicha wanajianda kwenda Dodoma

nitaendelea pindi taarifa za kupotosha mpango huo utakavyokua unaendelea huko Lumumba

Watoto wa Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA nao watakuwepo huko Dodoma????
 
TUTAKUWEPO

Karibuni jamani wapendwa...karibuni sana...najaribu tu kufikiri namna hali itakavyokuwa na matokeo ya ujio wenu ...mambo yatakuwa safi wenyeji wenu wanajiandaa kuwapokea, wanawasubiri kwa hamu kubwa...Mtapata mapokezi mazuri--magari ya deraya yatakuwepo kuwapa ulinzi mzuri mzuri ...magari ya washawasha yatakuwepo kuwatawanya wale wanaotaka kuwaingilia...mtakuwa katika mikono salama kabisa na ulinzi mzuri, msiwe na wasiwasi kabisa...tehtehtehteh
 
Kama ccm ni chama tawala na ndio kinachounda serikali, kuzuia huu mkutano utakutofautisha vipi na kuiondoa serikali madarakani?
 
Mbona Mbowe karekodiwa na Azam TV? Utasemaje kuwa sms zinasambazwa? Mbona hiyo sms hujaiweka humu kuthibitisha unachokisema? By the way mwenye chama ameshasema kuwa CHADEMA kimegraduate. Nawashangaa ninyi misukule bado mpo kindergaten
 
BAVICHA ni taasisi ya kisasa yenye weledi wa hali ya juu mtaipenda kuitolea mfano kwenye vikao vya chama chenu na akina bulembo watawasuta ma uvccm hamna ubunifu mmekalia kulilia bk 7 kila kukicha aibu yenu ma LIZABONI
 
8b93af8361661051914d87dd7fdc8567.jpg

Tumejipanga vizuri, tupo imara..Dom tunakwenda!!
 
Back
Top Bottom