CCM wagawa rushwa Vijibweni Kigamboni, Ridhiwani aongoza mashambulizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wagawa rushwa Vijibweni Kigamboni, Ridhiwani aongoza mashambulizi!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwita Maranya, Mar 31, 2012.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Katika hali inayoonyesha kukata tamaa kabisa kwa ccm katika uchaguzi mdogo kata ya vijibweni Kigamboni, sasa wameamua kutumia silaha yao maarufu ya kila siku, ya kugawa rushwa kwa wapiga kura.

  Ridhiwani Kikwete ambae ni mjumbe wa kamati ya uvccm taifa, amejichimbia kigamboni tangu mwanzoni mwa wiki hii akimfanyia kampeni mgombea wao na kuangalia upepo wa kisiasa ukoje.

  Baada ya kugundua kwamba wananchi wengi hawawaungi mkono, wameanza kugawa rushwa ya fedha taslim kati ya sh.25,000 na 40,000 kwa wapiga kura wa vijibweni!
  Taarifa hii ni ya uhakika toka kwa mwanachadema mmoja ambaye amekiri kukabidhiwa sh.25,000 ili ampigie kura mgombea wa ccm.
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Walifanyaga Kampeni katika kituo fulani kinaitwa"KWA STEVEN" jamaa yangu kwa Macho yake ameona CCM wakiwa watoa Rushwa kwa vijana.
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Huyu mtoto Riz atakuwa hana akili. Kwa nini anajiingiza sana kwenye mambo ya kishenzi bila kuogopa nafasi yake ya asili yaani kuwa mtoto wa Rais?
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huku baba yake anaomba msaada wazungu wa kupambana na rushwa!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Code:
  Taarifa hii ni ya uhakika toka kwa mwanachadema mmoja ambaye amekiri kukabidhiwa sh.25,000 ili ampigie kura mgombea wa ccm.   
  
  Aongezee alfu tano akanunue mifuko 2 ya cement akachapie nyumba yake chopping kwa nje, kura cdm!
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Basi la kuzimu linawasubiri magamba.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Mwita tutatumia nguvu nyingi sana kuwazuia au kuwasema akina Ridhwan au CCM but it wont help

  Tatizo ni kuwa je wananchi wanazipokea?? ndiyo, kwa nini?? kwa sababu ya maishaduni

  Je wakizipokea wanapiga kura kama walivyoombwa??

  Kinachoonekana hapa ni kutaka kuwafanya wananchi kama wabakwaji! na Ridhwan ni mbakaji!! which is not true here

  Tutaposema kazi kubwa sana wapinzani wanayo ni KUELIMISHA WANANCHI, KUWAPA MOYONA MATUMAINI WANANCHI

  Ridhwan is 'criminal' kets assume naturally yuko hivyo...wala hataona aibu yakusemwa au kuandikwa...ndivyo alivyo...tukikubaliana hapo kuwa KUMSEMA RIDHWANWONT HELP then our focus should be what do we have to do???jibu lake ni pana sana kuliko kupeana moyo

  Mwita nakumbuka moja ya sababu za ndani za kuja na sera ya CDM ya nyumba tanotano ni kuwabana CCM kwenye issues kama hizi....ukiniambia mmefikia wapi kama CDM kutekeleza hili mtakuwa makini ......KAMA HALIFANYIKI we have to wake upand do something

  Its enough now to talk about CCM its our time to do something extraordinary ...

  did i tell u it can be done??

  yes, it can be done

  Ridhwan kwa sasa anashika nafasi ya kwanza kwa uwizi kuliko yeyote yule

  1. mafuta machafu yanaingizwa kwa jina lake
  2. anahusika ku-subbotage reli ya kati
  3. anahusika kwenye manunuzi mabivu ya korosho
  4. anahusika kujengana kununua mahoteli, kununua viwanja...all these are illegal deals
  5. nimemshuhudia kwenye mradi wa gesi kutoka kusini ambapo yuko na baba yake...
  6. anahusika kupanga matokeo ya mpira TFF!!!

  What else, DARLIVE ni yeye ana kuna ugomvi na CRDB bank pale ambao wanaweza kuhamishwa kwa kibali cha waziri...n.k...n.k

  sasa mtu wa aina hii hawezi kukoma hana chembe chembe ya uzalendo katu, DAWA YAHAWA NI KUJA NA COUNTER ATTACK kubwa which is not easy if we keep talking they keep stealing

  in this case tatizo ni wananchi...ambao tunaweza tukawatetea lakini it wont help maana hata ukombozi utakuja kupitia wao!!
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,165
  Likes Received: 1,169
  Trophy Points: 280
  In ccm, who cares?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Oh,vijibweni bado watu wanaish!?
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Mkuu MM

  Tafadhali pitia bandiko la Wab na mlifanyie kazi.   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Waberoya,
  Nimekusoma mkuu, angalizo lako ni muhimu na ukweli mtupu.
  Kinachonishangaza ni kitu kimoja tu, kwamba unayaelewa madhara ya kuendelea kuongozwa na ccm, unatambua umuhimu wa kuwa na chama mbadala!
  Lakini bado hujawa tayari kiviunga mkono vyama vya upinzani ili viweze kuleta mabadiliko yanayohitajiwa na watanzania. Una mtazamo wa kuappreciate individual politicians badala ya political parties kama taasisi ambazo tunaweza kuzimould hadi zikayufikisha tunapotaka.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Suala la kuelimisha wananchi ubaya na madhara ya rushwa ni endelevu na linalohitaji kuungwa mkono na watu wote wenye mapenzi ya kweli na nchi hii.
  Ccm wanatambua kiwango cha umasikini wa watanzania na ndio maana hawaachi kuwagawia rushwa kila wanapohitaji kura zao. Bahati mbaya sana baadhi ya wananchi hawataki kuuona huu udanganyifu na ghilba wanazofanyiwa na ccm hadi wanaamua kuuza haki zao za kujichagulia viongozi walio bora na makini.
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ngumu sana kuwaamini wanasiasa na vyama vyao, inafikia kipindi unahisi wote ndio hao hao tu...
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ngongo,
  Waberoya nimemuelewa sana. Tuunganishe nguvu wananchi wote kupingana na rushwa!
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  BHT, should i take it that you are living in the past?
   
 16. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MM waambie wale nyumba ya jirani lakini wasisahau kulala nyumbani tu.

  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  it feels like I am in the stone age and I think better that way...

  hapa penyewe kufikia kesho usiku ntakuwa kwenye comma, nitumie mama P wangu ake aniangalizie hali yangu kaka PJ naweza kulala jumla
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Maisha yetu ya kila siku ni siasa, hakuna namna ya kujiepusha na siasa, usiposhiriki siasa moja kwa moja utaishiriki indirectly.

  Na kibaya zaidi tukiwaacha wanasiasa uchwara watuongoze hali zetu zitazidi kuwa ngumu na mbaya kwakuwa watafanya maamuzi yanayotuathiri kwa namna moja ama nyengine.
   
 19. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hakika kwa mtu yeyote anafuatilia siasa za nchi hii ya TANZANIA ATACHOKA kwa sababu watoto wa wakubwa hawataki kuishi na maskini kwa sababu kumpa mtu rushwa maana yake unamchukia kwa kumfanya mjinga.WATANZANIA KAAAAAAAAAZI KWELIKWELI
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  tatizo ni kwamba hao wanasiasa uchwara ndo wameshatuathiri sasa tunajiuliza wako wapi basi wenye nia safi?? maana tunaimbiwa haleluya hizo hizo na tukiwapa ridhaa zetu wanatufanyia ndivyo sivyo...
   
Loading...