Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau nimekuwa nafuatilia Hayati Baba wa Taifa alipoanzisha CCM aliamini chama hicho kitamilikiwa na wakulima na wafanyakazi na yeyote kati yao anaweza kuwa Kiongozi.Imani hiyo kwa sasa imetoweka CCM kimekuwa chama cha Wafanyabiashara na Wakulima.
Watumishi wamewekewa masharti magumu.Ndani ya CCM kiongozi ni lazima atoke kwenye kundi la wafanyabiashara na mkulima yeye ni mpiga kura tu, Mkulima kupata uongozi ni nadra sana.Hivyo dhana nzima ya CCM kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi haipo tena kama Hayati Baba wa Taifa hayupo.