Elections 2010 CCM waendesha kampeni chafu zidi ya chadema

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
Kampeni chafu imeanzishwa na chama cha mafisadi kuhakikisha kuwa Chadema na wagombea wake hawashidi katika uchaguzi wa mwaka huu. Kampeni hii imeanza baada ya kuona kuwa upepo unawaendea vibaya CCM na wagombea wake katika majimbo mbalimbali ha[pa nchini. Kampeni chafu inayofanywa na CCM ni ya kubandika mapicha ya wagombea wao juu ya wagombea wa Chadema. Hili linafanyika kuhakikisha kuwa wananchi wananyimwa haki ya kuwafahamu vilivyo wagembea makini wa chama cha chadema ili wa CCM ndo wajulikane. Ushahidi wa jambo hili utaupata eneo la stendi ya utawala chuo kikuu cha Dar es salaam ambako CCM wamedandika picha ya kikwete na Ng'umbi ya ya picha za Dr. Slaa na Mnyika. CCM wanataka kuhakikisha wanaibomolea mbali ngome ya chadema baada ya hatua ya awali ya kuhakikisha idadi kubwa ya wanafunzi wa UDSM hawapigi kula katika vituo vyao kwa kuwa watakuwa likizo wakati wa uchaguzi.

Imeandaliwa na Kidundulima
 
Huko ni kushindwa kulikokithiri!
Hivi media wanayoijua wao ni posters za picha tu?
Mwisho watatoa maagizo tukiona mkutano wa Slaa unaonyeshwa kwenye TV tuzime tv au redio!
Na magazeti yatakayotoa picha ya Slaa au mbunge wa chadema, basi tuyabandike OKO!..
wHAT A SHAME!
 
kwa CCM yote yanawezekana maana wameshatamka kuwa ushindi ni lazima mwaka huu.
 
Lini umekuta Chama Cha Mafisadi wanaendesha kampeni safi? Hukuwepo nchini wakati wa kura zao wenyewe ndani kwa ndani?
Tangu lini mtu mchafu akafanya mambo masafi?
Aacha wafanye hayo, lakini safari hii tunafanya kama kipindi cha ukombozi wa nchi, mtu kwa mtu mshikamano nchi nzima tunataka kuikomboa nchi kutoka katika mikono na makucha ya wezi wa rasilimali za taifa.
Wamesimamisha mabango kila phala katika njia kuu, iko wapi wizara husika ituambie kama sheria zimefuatwa katika kusimamisha mabango haya maana hadi visibility huko bara barani imekuwa tabu. Kwa kiongozi aliyekuwa madarakani miaka mitano iliyopita na akafanya chochote cha maana asingehitaji upupu wote huu kujinadi.
Mbona hatukuona mabango ya Mkapa ama Nyerere wakati wao? Mbona wakati wa kampeni 1995 wakati mkapa anapambana na Mream hatukuona uharo huuu....! Hebu watuambie, kama kweli wana nia ya dhati kuwasaidia wananchi, fedha za kutengeneza mabango haya yooote tunayoyaona kwanini wasingezitumia katika maendeleo ya wananchi kwenye afya, maabara kwa shule za kata (japo moja ya mfano)?

Wezi tu hawa hawana lolote....Mwananchi, amka , chukua hatua! Safari hii ni Dk Slaa tu kuwa rais wa nchi yetu tanzania!
 
Huku Moro Abood kaajiri vijana wa kubandua mabango ya wagombea wa vyama vingine!!!!!
 
Kaka Usijali tushirikane kuyaondoa..Nimeyaona nakupa masaa 48..Hutoyaona...!
 
Huko ni kushindwa kulikokithiri!
Hivi media wanayoijua wao ni posters za picha tu?
Mwisho watatoa maagizo tukiona mkutano wa Slaa unaonyeshwa kwenye TV tuzime tv au redio!
Na magazeti yatakayotoa picha ya Slaa au mbunge wa chadema, basi tuyabandike OKO!..
wHAT A SHAME!

Hahaaaa umenikumbusha OKO,,,,,du kweli tumetoka mbali
 
Back
Top Bottom