Ccm wachoma moto ofisi zao

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Chama cha mapinduzi kinaishi maisha ya kuonewa huruma. Kimeanza kuchoma moto nyumba za viongozi wao ili wananchi wajue wapinzani ndio wachochezi wa machafuko. Imetokea igunga jana vijana wa ccm wamechoma nyumba ya kiongozi wa kata wa chama cha mapinduzi.
 
Reflection ya Igunga haitoi taswira njema kwa magamba, yaoyesha hali ni tete sana, na kuna kila sababu kwamba wanachi wengi hawapati taarifa sahihi kuhusu uhalifu wa CCM Igunga. Leo nimesikiliza radio Uhuru ile taarifa ya kada kukatwa mapanga na mtoto wake kubakwa wanasema ni wafuasi wa CHADEMA ndio wamefanya huo uhuni wakati hata mweyewe huyo kada kadai ni CCM wenzake. Lol the days are numbered ngoja tuone mwisho wa hii movie.
 
Chama cha mapinduzi kinaishi maisha ya kuonewa huruma. Kimeanza kuchoma moto nyumba za viongozi wao ili wananchi wajue wapinzani ndio wachochezi wa machafuko. Imetokea igunga jana vijana wa ccm wamechoma nyumba ya kiongozi wa kata wa chama cha mapinduzi.

Ukiona hivyo ujue kiongozi huyo na wapiga kura aliokuwa amewaandaa wamerushana mshiko na hilo liko wazi CCM hupishana sana kipindi cha uchaguzi kwani viongozi wengi wao huko vijijini huwarusha wale watu aliowaandaaa na kuwa na imani nao kuwa watamchagua mtu wa CCM sasa ikitokia mapishano ndio hali hiyo hutokea.

My Take;
Vijana wa CCM wajitambue na waache tabia ya kutumiwa kama watumwa wajiamulie maamuzi yao na sio kupelekeshwa kwa sababu za njaaaa
 
Sijawahi kucheka kama leo,yaani nyumba iungue lakini karatasi isalimike,alafu mtu atende kosa alafu aache karatasi ya kujitambulisha.........Hadi kampeni kuhitimishwa tutaona mengi ya KI-COMEDY.Polisi mkamateni huyo mwenye nyumba na mshitakini kwa kutoa taarifa ya uongo na kuharibu mali yake
 
Chama cha mapinduzi kinaishi maisha ya kuonewa huruma. Kimeanza kuchoma moto nyumba za viongozi wao ili wananchi wajue wapinzani ndio wachochezi wa machafuko. Imetokea igunga jana vijana wa ccm wamechoma nyumba ya kiongozi wa kata wa chama cha mapinduzi.
mkuu, hebu elezea vizuri hii kitu. mimi sijakupata vizuri.
jana kulikuwa na tetesi kuwa ccm walitaka kuchoma ofisi yao moto, vijana wa cdm wakapata taarifa, wakawawahi kutoa taarifa polisi na polisi wakaenda kulinda jengo.

sasa hii naona ni mpya sasa!!!
 
Jana kumetokea matukio mawili tofauti. 1. Vijana wa chama cha mapinduzi wamechoma moto nyumba ya kiongozi wao wa kata,wameacha maandishi na namba za simu za wafuasi wa chadema ili kupoteza ushaidi. 2. Vijana wa chadema wamewakamata viongozi wa ccm wakichoma moto mabango ya mgombea wa chadema,viongozi hao wa ccm wamekabidhiwa mikononi mwa mkuu wa upelelezi wa police igunga.
 
Ukiona hivyo ujue kiongozi huyo na wapiga kura aliokuwa amewaandaa wamerushana mshiko na hilo liko wazi CCM hupishana sana kipindi cha uchaguzi kwani viongozi wengi wao huko vijijini huwarusha wale watu aliowaandaaa na kuwa na imani nao kuwa watamchagua mtu wa CCM sasa ikitokia mapishano ndio hali hiyo hutokea.

My Take;
Vijana wa CCM wajitambue na waache tabia ya kutumiwa kama watumwa wajiamulie maamuzi yao na sio kupelekeshwa kwa sababu za njaaaa
Hebu na tuwaache tu vijana wa CCM maadamu wamechagua kutumika kama mipira ya kiume kwa raha ya Kikweteh na familia yake, basi. Wee mtu mwenye akili zako huwezi ukapewa elfu20 ukafanye kazi ambayo inaweza kukupelekea kupigwa tindikali au kuuawa ili CCM istawi
 
Hata ndege ikipata hitilafu kubwa angani, na hakuna uhakika wa kujinasua, jambo pekee analofanya rubani ni kumwaga mafuta ili kupunguza maafa kwa marehemu watarajiwa. ccm kuharibu mali zao wenyewe ni ishara ya kukubali kuwa hawaponi bali wanatafuta huruma kupunguza machungu.
 
na bado watanzania wa sasa c wakudanganyika kwa staili ya kiivyo

Acha wachomeane na kupeana hasara ndo walichofundishwa kwenye kambi ya green guard.wafanye hujuma ili waonekana wapinzani.Mungu huwa anamwaibisha mtu muovu napofanya udanganyifu kwenye haki.
 
this is total craziness!!!
hawa ccm wanafikiri nini??
wantuma ujumbe gani kwa uchaguzi mkuu??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom