CCM wacharuana bunge live

Mkuu ya mungu ni mengi, hakuna ajuae kesho, kaa hii sheria ya vyama jiwe ataweka signature then hakuna haja ya kushiriki katika uchanguzi, lakini jiwe ataondolewa na mungu pengine kabla ya 2020
Hahaha kushinda kwa kumtegemea Mungu sijui, labda kampeni zipigwe mbinguni pia. Hawa watu wanawajua mkishindwa mtasema Mungu kapenda. Dawa ni kutokushiriki uchaguzi ikiwa mazingira hayataboreshwa. Mkiingia hivi hivi basi mmerogwa.
 
Si walisema wamefanya Bunge recorded ili wananchi wapate muda wa kufanya kazi, je wananchi wamemaliza kazi? Au kwa sababu Shundu Lwishu na Akai reli Mbawa wapo nje ya Bunge?
 
Bunge live litapunguza wakina mama wabunge wa ccm kuomba wabunge wanaume wafanyiwe tohara na kukaguliwa sehemu za siri kuona wenye magovi
Wanawake nao wakaguliwe kama wamekeketwa au la ili wanaume wajue was kuwaoa maana wasiokeketwa hawafai kuolewa lazima tudumishe utamaduni wetu.
 
Back
Top Bottom