Elections 2010 CCM wabadili mbinu za kujinadi sasa ni katika maji ya kunywa

Mongoiwe

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
524
263
Katika hali inayoonyesha kuanza kushika moto kwa Kampeni, CCM imeonekana kubadili mbinu zake ambapo sasa katika mikoa ya kanda ya ziwa Maji aina hii yameanza kuingia mitaani yakiuzwa.
2qlxs40.jpg

2a0du8l.jpg

Na watanzania bado wanashindwa kunua maji haya na kubakia kunywa haya:

Poverty_child_water_Tanzania_1_jpg.jpg

Dirty+water.jpg
 
Duh! Hata kaptura za ndani zitapigwa chapa ya ccm. Mwaka huu kuna kazi!
 
Katika hali inayoonyesha kuanza kushika moto kwa Kampeni, CCM imeonekana kubadili mbinu zake ambapo sasa katika mikoa ya kanda ya ziwa Maji aina hii yameanza kuingia mitaani yakiuzwa.

Mbombo ngafu, maji yamezidi unga. Matangazo mpaka kwenye maji inaonyesha umaarufu umepungua sana na chama hakiuziki ( slow moving ).
 
Poor planning, poor Marketing strategy,
This will never work, wengi wanaonunua maji ya chupa ni wale ambao wanajiweza kifedha kiasi fulani na kundi kubwa katio ya hao HAWADANGANYIKI!!! atutomatically Hii kampuni ijiandae kwa natural death, kwani ni kosa kubwa sana kuhusisha biashara yako na itikadi fulani ya chama, kwani utakuwa kwa makusudi umejikosesha fungu fulani la wateja. Impact yake itaendelea hata baada ya uchaguzi, na wakumbuke tu kuwa CCM inawatumia kwenye kipindi hiki tu, na uchaguzi ukiisha imekula kwao.
 
Hivi CCM wanaelewa athari za maplastiki hayo katika uharibifu wa mazingira? Sera ya CCM kuhusu mazingira inaruhusu CCM kutumia maplastiki haya yasiyo biodegradable ? Tumeshindwa kusafisha miji yetu, CCM wanataka kuongeza uchafu zaidi kwa kusambaza miplastiki hii ?
 
You must be kidding!

Kuna vitu vyengine kutegemea ccm wawe wawefikiri ni sawa na kutegemea mtoto wa shule ya msingi ya kata kujua kuhusu congruent set of dimensions.
 
You must be kidding!

Kuna vitu vyengine kutegemea ccm wawe wawefikiri ni sawa na kutegemea mtoto wa shule ya msingi ya kata kujua kuhusu congruent set of dimensions.

Hahaha,

Regardless of the criminaly insane, imbecilic CCM idiocracy and a non-existent decision process, some of us here still maintain and uphold some world class standards and expectations, if only to show what type of responsible leadership we need.
 
Hivi CCM wanaelewa athari za maplastiki hayo katika uharibifu wa mazingira? Sera ya CCM kuhusu mazingira inaruhusu CCM kutumia maplastiki haya yasiyo biodegradable ? Tumeshindwa kusafisha miji yetu, CCM wanataka kuongeza uchafu zaidi kwa kusambaza miplastiki hii ?

Maji haya yanatengenezwa na kiwanda kinaitwa Ndiyo Bottling Co. Ltd wamiliki wake ni wahindi kama sijasahau anaitwa Mohamed Brichard. Hapo utabaini jambo pengine aliogopa Uraia wake jama.
 
Bidhaa gani hii chakavu inafanyiwa marketing kama bidhaa mpya? Inaelekea wanajaribu kufunika ubovu wa bidhaa badala ya kurekebisha ubora. Wamebakiza kutuwekea chip kwenye ndimi tukiongea tu imwagike green
 
Back
Top Bottom