CCM Waanza Njama za Kumtoa Mbunge Dr Mollel wa Siha kwa Uchonganishi.

Hawakuwa viongozi wale wachumia tumbo tu,

Hivi wananchi walikuamini na wakakuchagua ukawa Mbunge gafla unakengeukaaaaaa utafikiri chama ndo kilikupa Ubunge anasahau kuwa waliompa Ubunge ni wananchi,

Kama kigezo ni kutokuwaletea wananchi maendeleo kisa upo upinzani wananchi wenywe si watachagua mbivu na mbichi?

Millya,Waitara,Mollel,Gekul,Ryoba ni wabunge waaajabu sana kuwahi kuwaona Tangu nizaliwe,
Hao ni sawa na nguruwe tu.
 
Mi nimeishi na waarusha ni watu wanafiki na wafitini sijawahi kuona huku duniani.huyu mollel watamjua tu wasubiri kidogo
Ukweli kabisa sisi watu wa kaskazini tunajuana .. waarusha na wapare wanavitabia fulani vya kufanana kwenye unafiki na ufitini. Ni udhaifu wao tu ila tu watu wa kaskazini tunapendana hivo hivo hatuna shida
 
Hakuna vita ninayoisubiri kama vita vya 2020 kwenye kura za maoni,

Kati ya CCM(Wafia na wajenga chama) Vs Wapinzani uchwara waliopewa vyeo vya bure kabisaaaa,

Sasa sijui wataelekea 2020 maana kule CCM hawakubaliki na huku upinzani ndo usiseme,

CCM hawako tayari kuwa nafasi tena wakatafute kazi zingine kabisaaaaaaaaa fumbafu kabisaaaaa
Hata katika huu uhuni wanaita uchaguzi serikali za mitaa, wale waliokuwa wenyeviti toka upinzani na kuhamia ccm ili waje "wapewe" tena imekula kwao kwani hizo kura zao za maoni wameaibishwa haijapata kutokea.
 
Huyu ni mpuuz.... fulani hana faida yoyote. Likimkuta lolote huko ugambani sawa tu.

Wapigie simu na wenzako kina Milya, Gekul, yule wa Monduli na genge lote la wasaliti.
 
Ama kweli ushirika na shetani haudumu. Mbunge wa jimbo la Siha aliyehama kwa kununuliwa na CCM na kuisakama Chadema kwa maneno mengi sana ya ajabu, tayari ameanza kushughulikiwa na wenzake wa CCM.
Habari kutoka mkoani Kilimanjaro zinasema Mkuu wa Mkoa huo Mama Ana Mgwira amemuonya mbunge huyo kuacha tabia za uchonganishi na kuwa hata vumiliwa hata kidogo.
Hilo linatokana na maazimio ya kamati ya siasa wilaya ya Siha kumtuhumu anakwamisha maendeleo na kwa uchonganishi wake.
Hiyo ni red alert kuwa 2020 anatupiwa kwenye dustbin la siasa na CCM kamwe haiwezi kumpitisha tena kwani mission accomplished.
Mambo yamekolea mno kwa sasa .
 
Jiwe alivo mtu wa kukomeshea atawashangaza!
Atachagua Wahamiaji woteee ili mkome kuringa.
 
Ama kweli ushirika na shetani haudumu. Mbunge wa jimbo la Siha aliyehama kwa kununuliwa na CCM na kuisakama Chadema kwa maneno mengi sana ya ajabu, tayari ameanza kushughulikiwa na wenzake wa CCM.
Habari kutoka mkoani Kilimanjaro zinasema Mkuu wa Mkoa huo Mama Ana Mgwira amemuonya mbunge huyo kuacha tabia za uchonganishi na kuwa hata vumiliwa hata kidogo.
Hilo linatokana na maazimio ya kamati ya siasa wilaya ya Siha kumtuhumu anakwamisha maendeleo na kwa uchonganishi wake.
Hiyo ni red alert kuwa 2020 anatupiwa kwenye dustbin la siasa na CCM kamwe haiwezi kumpitisha tena kwani mission accomplished.
Mzee haihitaji rocket science,usaliti unalipwa kwa usaliti.

Sio Mollel tu,ni kenge wote!!

Muulize Mwita,hana hamu na maisha!
 
Back
Top Bottom