Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
kadi ipi wanataka tuchome?Kumbe sio wanao choma tu hata wale wanao hastag # chomakadiyaCCM#
Na zile zinazosalimishwa majukwaani inakuwaje? Hivyo huwa zinapelekwa wapi?
kwa kosa gani?Siku akitia maguu nchi hii huyo dada, naona hakuna jela itakayomfaa zaidi ya mto wami